Hivi tabia ya kula chakula huku mnaongea kwenu bado ipo?

nitonye

JF-Expert Member
Dec 18, 2011
7,273
3,750
Nakumbuka enzi bado niko mdogo ilikuwa ni marufuku kwa mtu yeyote kuongea wakati wa chakula isipokuwa baba a.k.a dingi. Halafu unakuta kamlango kanasogezwa kidogo kama kanataka kufungwa hivi. Ukienda kwa jilani unapiga hodi ukasikia kimya ujue watu wanafinya vitu. Je hivi hii kitu bado inaexist?
 
Hahahaha, sisi home muda wa chakula was in fact time kwa kila mtu kusema how his/her day was na kujichanganya kama familia. The only times we were not allowed to talk-sana- ni kama wazee wamepokea wageni na wanaongea mambo yao. Then you could comment only when invited to.
 
Sasa msipoongea saa mnakula, na mko pamoja mkaongee wapi?
Wakati wa kula ndo muda muafaka wa nyinyi kuongea.
 
Sasa msipoongea saa mnakula, na mko pamoja mkaongee wapi?
Wakati wa kula ndo muda muafaka wa nyinyi kuongea.

Kuna watu wanakula kwa kushare sahani au sinia kwa hiyo ili kuavoid foul inabidi kila mmoja awe kimya
 
Hahahaha, sisi home muda wa chakula was in fact time kwa kila mtu kusema how his/her day was na kujichanganya kama familia. The only times we were not allowed to talk-sana- ni kama wazee wamepokea wageni na wanaongea mambo yao. Then you could comment only when invited to.

Wazee wengine wanadai kwamba sio adabu mtu akiwa anakula huku anaongea
 
Sasa msipoongea saa mnakula, na mko pamoja mkaongee wapi?
Wakati wa kula ndo muda muafaka wa nyinyi kuongea.

Valid Statement! Ni hivi mtoa trade amezungumzia rules za zamani na sasa wakati wa mlo.
Takriban nyakati zile karibu kanuni za mlo zilikua zinafanana kwa jamii nyingi.
Mf. Sisi ilikua ni marufuku kuongea na ni marufuku kuangalia watu usoni , pia ni marufuku kuzama kunako bakuli la finyango hadi m'sure awagaie ! Giza likiingia ni ndani.
Hatukua na prep wala tution !
Hom hapakua na Tv zaidi ya redio.
Shangaa katika shule wengi wa kizazi kile tume'parfom vizuri.
Lakini hiki kizazi cha Dotcom chakula kinawekwa kwenye hotpot kila mdau anahudumu kwa mda wake, mlo na maongezi , Tv , e.t.c, baadae prep, tution kibao!
Subiri final result kama Mwanaasha Jeikei !
 
Back
Top Bottom