Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,075
- 100,475
ewaaa swadakta,hapa unashushia na maji au pepsi baridiSupu 500/=
Chapati 2 kwa 500/=
Maji ya kunywa jagi lipo mezani
NB
Kusema ukweli tunakula tu ili tusife lakini haya madubwasha sio ya kula binadamu....ndio hivyo nyama aghali...
View attachment 3692758
Tutakoma, upigaji kila konayes huwezi kuwekea steak tupu au mifupa tupu, utachanganyiwa hadi mapupu
Haina shida hiyo mazee kula tuShukrani msabato, bora nilikataa.
Kuna watu wanakula supu ya ngozi. Dah.hiyo supu itakua haizidi hata buku jero
Niliwahi kuikuta kusini ni tamu hakuna mfano.Kuna watu wanakula supu ya ngozi. Dah.
ngozi ile huwa ina tu nyama nyama inabakiKuna watu wanakula supu ya ngozi. Dah.
Ukiagiza pepsi baridi watu wanakutizama mara mbili mbili kwenye kibanda.....ewaaa swadakta,hapa unashushia na maji au pepsi baridi
swadakta kumbe kuna maji ya samia hapo? msalimie mama muuza, nimemkubaliUkiagiza pepsi baridi watu wanakutizama mara mbili mbili kwenye kibanda.....
Pembeni kuna ndoo imetumbukizwa barafu za kutosha ni wewe tu kusuuza na kunywa maana ni kikombe chenyewe ni kimoja Tu....View attachment 3692759
Ngozi tuexport bwana wazungu wakatengenezee Gucci.ngozi ile huwa ina tu nyama nyama inabaki
hahahaha,sie tunazilaNgozi tuexport bwana wazungu wakatengenezee Gucci.
Licha ya kwamba inapatikana uswahilini, hii supu safi sana ikiwa imeandaliwa vyema.Supu 500/=
Chapati 2 kwa 500/=
Maji ya kunywa jagi lipo mezani
NB
Kusema ukweli tunakula tu ili tusife lakini haya madubwasha sio ya kula binadamu....ndio hivyo nyama aghali...
View attachment 3692758
Hujawahi kusikia watoto wanasema wanataka kupupu?!basi ndo hayoNunua upate nguvu za makende...😃😃😃
Natania hata mimi sijui bana
Maji hayo hayakosekani mkuu....si unajua huku wanyonge tupo wengi maji ya chupa ni anasaswadakta kumbe kuna maji ya samia hapo? msalimie mama muuza, nimemkubali
hayo ya mama samia hayana baya, salam kwa dada muuza supu zifikeMaji hayo hayakosekani mkuu....si unajua huku wanyonge tupo wengi maji ya chupa ni anasa
Mama Saidi ameshazipokea salami....sema tu anauliza akuwekee Pupu, bandama au koromeo...!?hayo ya mama samia hayana baya, salam kwa dada muuza supu zifike
Hiyo ingekuwa utumbo bana...auHujawahi kusikia watoto wanasema wanataka kupupu?!basi ndo hayo
Kwa hiyo tuseme mleta mada ni mtu wa kinywaji pendwa cha banana republic au!?Mapupu ni mapafu yale na mabandama.
Miongoni mwa supu za bei rahisi ni hiyo ya mapupu.
Sehemu zote za uswahilini au sehemu za Walevi supu ya mapupu hazikosi.
Bei yake elekezi karibia maeneo yote ni shilingi mia Tano tu 500
Buku jero. Dahhahahaha,sie tunazila