Kazi yoyote ya kujiajiri inahitaji stratagies to achieve overall aim. Unaweza ukawa fundi wa kutengeneza furningture, lakini kujiajiri ni kipaji kingine tofauti. Tusitafute wachawi wa mafanikio yetu kisa tu tumejaliwa vipaji wakati hata hao mabilioniea wakina Elon Musk, pamoja na kwamba ni ma genius, lakini behind their success, there's big team with them.