Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,217
Nimesikia watu wanapiga kelele kwa vitu vidogo vya kufikirika. Wengine wanasema clinton ana sera. Leo mnasifia kesho mnakuja na pyoyo kwamba hamtaki wamarekani wawalazimishe mambo kadhaa.
-Kwa haraka Democrats wote wanakiri kufuata hizi sera.
- Ushoga,na watu waliojibadilisha jinsia na kuwa na jinsia y 3.
- Sera za kuchomoa mimba na uzazi wa mpango ambao una mambo kibao yamefichwa.
na mengine mengi .