Hivi Seif Sharif Hamad mke wake anaitwa nani?

Tuwekeeni na picha za watoto wa kike wa Slaa pamoja na mama zao! Tuwaone wengine hatuwajui

Nadhani kweli sio wazo baya,maana viongozi wetu hawa lazima tuwajue vizuri kwamba tuna deal na kuwaamini watu wa aina gani,wadau kwa aliyenazo azimwage basi,mi nimefurahi sana leo kumjua bi Awena seif shariff Hamad,amaekua anajificha sana second lady huyu wa jamhuri ya watu wa zanzibar.
 
Mwenyewe hapendwi kuitwa Awena Seif Sharif Hamad, kwani huko ni kumuharamishia mume wake wa halali na kama anavyoonekana yule ni mtu wa Dini tofauti na mashankupe mengine wa viongozi wa Serikali na vyama, yeye muda wote full kujisiri. Kwenye vyombo vya habari na hata anapotambulishwa na ama kutajwa sehemu nyengine hua anatajwa kwa jina la Awena Sinani Massoud. Sijawahi kusikia kama ipo siku katajwa kwa jina pamoja na la Maalim.
 
Chunguzeni hali ya kijinsia ya Jussa, angalieni maisha aliyoyaishi Maalim Seif pale Starlight halafu jiulizeni kulikoni Maalim kumsaliti HR ambaye ni mwanzilishi wmwenza wa CUF kwa ajili ya Jussa! Inasenekana Jussa si riziki na inawezekana mzee mzima Maalim anapumzika pale
 
Acha ganja za Ukubwani
 
Na yeye anampenda mke wake kama Bosi wake? sababu nasikia Bosi wake na Mke wake wanavyopendana
unaweza ukadhani huwa wanalishana limbwata.
 
Tuwekeeni na picha za watoto wa kike wa Slaa pamoja na mama zao! Tuwaone wengine hatuwajui
We nae umezidi kujihisi, sasa hapa tayari umeishahisi Muislamu Mwenzako anaandamwa, basi na wewe leta za mke wa baba yako
na za watoto wake wa kike tuzione pia?
 
Embu tufunulie kidogo maisha ya Maalim Seif starlight hotel yalikuwaje

Akiwa anaishi pale hakuna mhudumu yeyote ambaye amewahi kumuona mgeni wa kike akiongozana naye chumbani kwa miaka yote ile. Na kuna wakati varangati lilitokea chumbani mwake akiwa na kijana
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom