Hivi Samia, Lissu amekukosea nini?

Naona Lissu ndio angeulizwa Samia kamkosea nini alimpa kilakitu (Pesa,kumrudisha Tanzania, kufuta kesi zake zote, kumfungulia afanye siasa) lakini fadhila yake nikumtukana na kumdhalilisha Samia.
 
Naona Lissu ndio angeulizwa Samia kamkosea nini alimpa kilakitu (Pesa,kumrudisha Tanzania, kufuta kesi zake zote, kumfungulia afanye siasa) lakini fadhila yake nikumtukana na kumdhalilisha Samia.
CCM wanavyopenda matangazo, wangemlipa Lissu hata laki moja tu katika mishahara yake ya kibunge anayoidai mamilioni, wangeweka payment voucher humu dakika mbili tu baada ya malipo


Naamini Lissu hajalipwa hata cent Tano, anayebisha uvccm aweke ushahidi hapa.
 
Lissu ni mwanasheria mzuri lakini si mwanasiasa mahiri sababu tu kukosa busara na hekima.

View: https://youtu.be/Pgu4VfqBGKs?si=9ZsKGWdJTSbDLh7P
 
Lissu Mimi nilimwambia biashara ya kuwapambania wajinga huwa hailipi nilimwambia tangu alipopigwa risasi


Yaani MTU Una risk maisha yako kwa watu wapumbavu Kama hawa waswahili
Who are you?
 
The system punish those who notice too much not those who act wrongly.
 
..Mama Abduli ana machungu na hasira na TL kwasababu alipokutana naye Ubelgiji alimsaidia kwa fedha, Mama anadai ilikuwa posho yake ya safari, sasa badala ya TL kuwa na shukrani akaanza kumkosoa.
Watoto wa mjini tunaita ihsani πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Mbogamboga usiye na akili hata kidogo wewe, unategemea form four failure aweze kushindana na msomi wa chuo kikuu tena gifted?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…