Hivi sababu nini! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi sababu nini!

Discussion in 'JF Doctor' started by G spanner, Jun 4, 2011.

 1. G spanner

  G spanner JF-Expert Member

  #1
  Jun 4, 2011
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Wana jf mie nna tatizo linanipa utata kuna particle(vijichembe) nyeupe huwa vinajishikiza kwenye koo(mfumo wa hewa) na ninapohisi usumbufu zaidi huwa najilazimisha kama kutema kwa kutumia nguvu ya msuguano katika koo ndipo vijichembe vyeupe hutoka na nimejaribu kuvichunguza vinaharufu mbaya hasa ninapovisaga harufu hii inafanana na harufu inayotokaga kwa watu wenye matatizo ya harufu mdomoni hasa unapoongea nao ila mimi ni hivi vijichembe ndio vinanisumbua hivi tatizo ni nini na ni nini hivi vichembe?
   
 2. m

  mbongopopo JF-Expert Member

  #2
  Jun 4, 2011
  Joined: Jan 24, 2008
  Messages: 1,112
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Ningependa kuuliza umeshaenda kumuona dr?

  I hope kutakuwa kuna kitu utaweza kunywa au ku sugulia mdomo na koo. Umejaribu pia warm water yenye chumvi?

  Pole
   
 3. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #3
  Jun 5, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,074
  Likes Received: 1,811
  Trophy Points: 280
  Pole Man G- siwezi nikakupa tiba sababu sijui how bad they are but nitakujuza nini hivo vitu na vitakoe vipi >> those stinky white things you cough up tunaviita tonsillolith "sijui kiswahili chake" also called tonsil stone or calculus of the tonsil or a cluster of calcareous matter which forms in the rear of the mouth, in the crevasses (called crypts) of the palatine tonsils, kwa ufupi twaviita tonsils.

  [​IMG]

  Je vinasababishwa/ vitakea vipi...

  1) food particles
  2) dead white blood cells (a.k.a. leukocytes)
  3) oral bacteria, possibly from mouth breathing
  4) overactive salivary glands

  Protruding tonsilloliths have the feel of a foreign object, lodged between the outside of wisdom teeth and the temporomandibular joint region of the fleshed jaw. They may be an especially uncomfortable nuisance, but are not often harmful.

  jisomee mwenye more about it Tonsillolith - Wikipedia, the free encyclopedia

  Allah knows best!

  Get well soon   
 4. Tajy

  Tajy JF-Expert Member

  #4
  Jun 5, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 298
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Well analysed mkuu!good scientific analysis
   
Loading...