Hivi rushwa ya Mil 90 inaweza kuwapa ushindi Kalenga?

Ndo maana tunapinga kwa nguvu zote mawazir kuwa wabunge, hebu angalia sasa huyu jamaa yupo busay na kampen na akitoka hapo anaenda tena chalinze, je atafanya shughul za kiserikali lin?

Yaani mpaka aibu.Huyo ni waziri wa serikali anayepaswa kuhudumia watu wote kwa haki.

Ni waziri wa serikali anayelipwa mshahara kwa kodi za watu wote.Lakini bila aibu anatembea na mabulungutu ya wizi huko Kalenga kuhonga watu ili wasichague mgombea wa upinzani.
 
mil 90 wangepeleka kijijini kwetu wamwage kifusi kufukia yale mashimo makubwa ambayo tosha kujificha mtu...miaka 50 ya uhuru wameshinwa kutengeneza barabara ya kil 12 kutoka menroad sasa hivi wataweza ??
 
Wanachoweza ni kukwapua milioni 90 na kwenda kununulia watu Ulanzi.

Shame...Shame...Shame..!!!!!
 
Wanahonga kwasababu hawana cha kudhihirisha kwa wapiga kura.Wanaofaidi nchi hii kwa kiasi kikubwa ni viongozi na familia zao.walioko nje ya familia za viongozi ni mateso.
 
Yaani mpaka aibu.Huyo ni waziri wa serikali anayepaswa kuhudumia watu wote kwa haki.

Ni waziri wa serikali anayelipwa mshahara kwa kodi za watu wote.Lakini bila aibu anatembea na mabulungutu ya wizi huko Kalenga kuhonga watu ili wasichague mgombea wa upinzani.

Kwani ruzuku mnayokula katika SACCOS yenu ni pesa za kima?
 
Ina maana wewe huwa husikii CHADEMA huwa wanasema kuwa "tumeanza na Mungu, tunaendelea na Mungu na tutamaliza na M ungu"?

Kama nyie CCM mmeenda kalenga kwa jina la Shetani ni shauri lenu!!

Labda miungu hawa,kwa jina la Mbowe,La Lema na babu mtukutu
 
Mjomba wewe ndo umekabidhiwa huu uzi ujibu mapigo nini!?
Hawa Lumumba wawe wanaangalia aina ya thread na aina ya mtu wa kumpa ajibu mapigo,
Thread serious kama hii wanampa Mingoi ashughulike nayo wanaonekana hawako serious, ona anavyopost ugoro..
 
Redbrigade wakikutana na wagawa fedha usiku wawaadabishe kidogo. wanaua tembo wetu ili wapate pesa ya kuwakalisha madarakani pasipo haki...shame on them! Kalenga msikubali upuuzi huu. CDM, pls lindeni kura za wanaKalenga-najua wataipigia kura nyingi.
 
Back
Top Bottom