Hivi rushwa ya Mil 90 inaweza kuwapa ushindi Kalenga?

Tulitegemea sana mada za uzushi wa namna hii kipindi hiki cha mwisho mwisho wa Kampeni.
 
Ifike wakati habari kama hizi zianze kuendana na japo a pinch of evidence..., tukiendelea hivi matokeo yake tutaacha kuamini na ya kweli tukidhani yote ndio yale yale ya kila siku

Kama wewe huamini basi ni mpumbafuu kabisa , unasubiri ushahidi wakati Mzee Mangula ametuambia wapiga kura tukaonane na mabalozi wa shina majumbani kwao eti watuelekeze utaratibu wa kupiga kura wewe unadhani tunaenda huko kung'aa sharubu. kitu pesa hiko leteni huo mpunga tuule then tutawaonesha kazi
 
Ndo maana tunapinga kwa nguvu zote mawazir kuwa wabunge, hebu angalia sasa huyu jamaa yupo busay na kampen na akitoka hapo anaenda tena chalinze, je atafanya shughul za kiserikali lin?
 
Kama wewe huamini basi ni mpumbafuu kabisa , unasubiri ushahidi wakati Mzee Mangula ametuambia wapiga kura tukaonane na mabalozi wa shina majumbani kwao eti watuelekeze utaratibu wa kupiga kura wewe unadhani tunaenda huko kung'aa sharubu. kitu pesa hiko leteni huo mpunga tuule then tutawaonesha kazi
Wewe ni muongo sana,hii fani ya babu umeipatia wapi?
 
Nyie ma CCM leteni hizo bia za bure, nyie mmeshindwa kuuza Sera mnategemea nini mapumbavu nyieee mtaisoma namba ombeni 2015 ichelewe mpate nafuu majingamajina nyie

Kipindi cha uchaguzi ccm wana huruma sana, hata ukitaka kreti ya bia utapata
 
Kama wewe huamini basi ni mpumbafuu kabisa , unasubiri ushahidi wakati Mzee Mangula ametuambia wapiga kura tukaonane na mabalozi wa shina majumbani kwao eti watuelekeze utaratibu wa kupiga kura wewe unadhani tunaenda huko kung'aa sharubu. kitu pesa hiko leteni huo mpunga tuule then tutawaonesha kazi

Wameumbuka hao.Wanadhani miaka hii ni ile enzi ya Ujima.Chadema ni mpango wa Mungu
 
Nyie ma CCM leteni hizo bia za bure, nyie mmeshindwa kuuza Sera mnategemea nini mapumbavu nyieee mtaisoma namba ombeni 2015 ichelewe mpate nafuu majingamajinga nyie

Kwa hiyo umeshakubali ya kesho kutwa sasa unaota ya 20I5?
 
Huyu mtu roho yake ya ajabu sana kamanda.... Huwa nasemaga roho yake hata shetani akipewa hataichukua kwa jinsi ilivyojaa dhambi.... Hajamaliza hata kuanua matanga tayari yupo kalenga kugawa pesa....

We kweli sweetlady,pumba tupu na bado chalinze lazima mle za uso
 
Kwani kampeni za Chadema Kalenga wanatumia maombi kuziendesha au chopa zimeenda kwa jina la mungu?
Ina maana wewe huwa husikii CHADEMA huwa wanasema kuwa "tumeanza na Mungu, tunaendelea na Mungu na tutamaliza na M ungu"?

Kama nyie CCM mmeenda kalenga kwa jina la Shetani ni shauri lenu!!
 
Back
Top Bottom