Hivi romance ina madhara

Hivi romance ina madhara

BABU KIZEE

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2013
Posts
452
Reaction score
72
Wakuu naombeni kuuliza hivi kupiga denda a.k.a romance kuna madhara yoyote mtu unaweza kuyapata. Naombeni ushauri.
 
hakuna madhara kiongozi piga denda huyo ujifaidie, ila uwe makini wengine bado sana unaweza kutana na mabaki ya vichwa vya dagaa ukaishia kurudisha chenchi..
 
We mtoa mada ndo unaanza mapenz au? Mbna unawaswas hosp zipo mkapime 2 na mwenzko ili ujinafas vzur! Mana mi sioni ka kunamadhara hapo labda kama wagonjwa! Vingne mbwembwe tu jaman! CAUTION: kama hujawa tayari kwa ndoa(...) USIROMANCE ! Ok?
 
hakuna madhara kiongozi piga denda huyo ujifaidie, ila uwe makini wengine bado sana unaweza kutana na mabaki ya vichwa vya dagaa ukaishia kurudisha chenchi..

ha ha ha ha ha haaaaaaa....:glasses-nerdy:

  • :glasses-nerdy:

:glasses-nerdy:


 
Madhara ya kupiga denda yako Kama unaempiga anavudonda mdomon na wewe ukawa na vidonda vunginevyo cjui labda Dem au Kati yenu awe sio msafi wa kinywa 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom