Planet Data bundles
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,403
- 4,362
Wakuu naombeni kuuliza hivi kupiga denda a.k.a romance kuna madhara yoyote mtu unaweza kuyapata. Naombeni ushauri.
ndyo magonjwa HIV,Peridendal disease nk
Wakuu naombeni kuuliza hivi kupiga denda a.k.a romance kuna madhara yoyote mtu unaweza kuyapata. Naombeni ushauri.
Kama Kwenye dp ni wewe aiseeh ni pisiiMichubuko baina ya vinywa inaweza kusababisha maambukizi ya magonjwa kama HIV etc, japo wanasema ni kwa asilimia chache ila we have to be careful
Hapana siyo mimi mkuu , wala hatuelekeani kabisaKama Kwenye dp ni wewe aiseeh ni pisii