Acha kabisaa wanasema ukimcheki Ruge na Singasinga walivyonyooka+ zile ndevu+kanzu zao unaweza kudhani ni wale manabii wa enzi za yesu.
Ninachokiona UDA inarudi serikalini kwa 100% kama ambavyo yule Zakaria wa Mwz aliwekwa ndani na mkewe mpk akarudisha yale Maghorofa+mali nyingine za chama cha ushirika Mwz.
Hii ni good Move.
Mwendokasi ziko chache usimamizi mubovu nilifanikiwa kupanda Mara chache ila ule usafiri ni kero nawahurumia watumiaji wake bora daladala. Sasa nikiona ni hujuma za kifisadi acha tu anyooshwe aiseeNaunga mkono hoja mkuu.
Kuna kipindi jamaa alisema ameleta ma bus 400 ila yamezuiliwa na TRA pale bandarini,sijui alimalizana nao vipi.
Humjui hana asili ya huko hata ya kusingiziwa yule sukumaland genuine kabisaKiasili ni Mnya Rwanda
Anamaanisha hajasoma kama yule mbunge msukuma boss.
Bob nime quote alichosema huyo dada kumfananisha na huyo King Msukuma.Wewe unamsemea Kisena yupi ambaye hajasoma kama King Musukuma? Kama ni Simion Kisena aliyesomea nsumba na kusumbua shule nzima
True, wakati wa kampeni mabsi ya uda yote yanaacha biashara na kubeba watu, bureukitaka kuwa mpigaji mwenye mafanikio nchi hii basi hatua ya kwanza ni kuchukua kadi ya CCM, hata serikali iwe kali vipi bado wana ka 'soft spot' linapokuja suala la ma kada. nadhani dogo ni mwanachama mtiifu
Hujaeleweka fungukaAlikuwa huru mpaka hiyo juzi baada ya kuonekana TV akiupepeta mdomo,kuna kitu alibugi kuongea
Mkuu Elungata funguka basi vizuriAlikuwa huru mpaka hiyo juzi baada ya kuonekana TV akiupepeta mdomo,kuna kitu alibugi kuongea
Mzaliwa wa Malampaka,maswa na kule ana ginery ila siku hz haiko active sana km zamani.
Mkuu barafu subiri kesho uone akina Salary Slip na rafiki zake watakavyokuwa wanadai kaonewaKisena jamaa tapeli sana huyu bwana mdogo.Aliichukua ile Nyanza na NewEra Ginnery.Ameibia sana wakulima wa Pamba kuanzia Meatu huko mpaka Maswa.
Ni tapeli ambaye anakudhurumu,ukimfuata unaweza mpiga kwa blabla zake...ukimpiga anajifuta anasema basi tumeshamalizana.Kajamaa fulani kasanii sana,na kwa kweli kalikuwa hakagusiki.
Mara ya mwisho alikuwa akikaa Flat moja hivi pale Upanga,nilionana naye last time 2014 nikiwa Tz.Utapeli wake mpaka kwa Wamama wenye hela,kawaliza sana.
Uchaguzi Mkuu 2010 alienda na mtoto wa Rais mmoja mstaafu kwenye kura za maoni jimbo la Maswa kwa Shibuda,akashinda kwa nguvu kura za maoni.Huyu ndio alifanya Shibuda apigwe chini 2010 na akahamia CHADEMA akapewa jimbo.Kosa lake Shibuda ni kutangaza nia ya kugombea Urais 2010,wenye chama wakamuwekea Kisena.
Alimtapeli Muhindi wa Eicha na Tata alipoziingiza kwenye daladala za UDA.Huyu ndio anaivuruga UDART mpaka sasa haieleweki.Kifupi haka ni kahuni fulani kalikoharibu sana sekta ya pamba na Usafiri wa UDA.
Kwa hili,mimi nipo nyuma ya Amri Jeshi Mkuu John Joseph Pombe Magufuli.Hawa kina Kisena wameiba sana.
Tuanisubiri na hiyo hadithi[emoji23]Ni msukuma kwa kabila , taarifa zinaonyesha kwamba alijipatia utajiri kwa kukwapua utajiri wa John Cheyo baada ya kupewa kusimamia biashara zake wakati cheyo alipobanwa na sheria alipogombea Urais 1995 , alimjuaje Cheyo hiyo ni hadithi nyingine
awamu hii hakuna cha mshika mikoba ya mkubwa wala nini tutaheshimiana tu yaani wote mpaka tuwe level moja hakuna cha unanijua mimi ni nani??hahahaaaa5. Bepari la kisukuma.
chenge nyoka mwenye makengeza ulishawahi kumuona ? ndiyo huyo baba kila skendo yumo tena zile kubwa lakini hakamatiki ni mjanja sana kwenye mikataba yake anakuwemo lakini hakuna pa kumkamatiaNi ngosha mjanja mjanja tatizo shule hana.Raha ya kuwa mjanja mjanja ni kuwa na shule pia kama mzee baba Chenge.
Kamkosea adabu sanaBob nime quote alichosema huyo dada kumfananisha na huyo King Msukuma.
Sasa mkuu ukimgusa chenge si utaamsha mambo makubwa sana Yule atabaki vile mpaka kifo kimkute tu tofauti na hapo hakuna wa kumgusa hata kidogochenge nyoka mwenye makengeza ulishawahi kumuona ? ndiyo huyo baba kila skendo yumo tena zile kubwa lakini hakamatiki ni mjanja sana kwenye mikataba yake anakuwemo lakini hakuna pa kumkamatia
da aisee huyu msukuma sijui sheria aliisomea nchi gani maana ni mjanja balaa yaani skendo zote yumo na mnaona kabisa lakini hata pakumuanzia hampaoni alishawajhi kuitwa akahojiwe akakataa wenziew walienda na hakufanywa kitu na bungeni ni MHESHIMIWA MWENYEKITISasa mkuu ukimgusa chenge si utaamsha mambo makubwa sana Yule atabaki vile mpaka kifo kimkute tu tofauti na hapo hakuna wa kumgusa hata kidogo