Wana JF naomba mnisaidie kujua hili kwa uwazi pasipo matusi na kejeli.
Najua wazi kuwa Mengi kuwa mwanachama fulani cha Siasa siyo dhambi wsla kosa, lakini hoja yangu ni pale anapotumia fursa aliyo nayo kutumia vyombo vya habari kukashfu chama tawala, anatoa fursa kwa viongozi wa Chadema kutoa kashfa kwa vyama vingine na kuyapa muda mwingi sana matukano na kejeli hizo, mfano ITV hutangaza habari nyinngi sana za Chadema hususan ni zile za maneno ya wabunge wanaozungumza mambo ya kuiponda Serikali, Pia kuna tukio jingine nalo lilitushangaza Watanzania, Kwanini Mtei alizindua kitabu chake cha "gother to governor" kwenye Hotel ya Mtei? Je tuamini kwamba ni kwa vile wote wanatoka ukanda mmoja? Naomba majibu ya hoja siyo kejeli na matusi.
Mkuu, Niambie Nani Mzalendo Kati Ya Mengi Na Muhogo?? Anadharau Na Kusema Watz Wana Hela Ya Juice Badala Ya Kutoa Mawazo Mbadara
Ni kweli Mengi ni mchaga na Chadema yetu ni Full uchaga kwa kwenda mbele,lakini tatizo linakuja Kuwa mengi ni ccm lakini anajaribu kusaka huruma za wanachadema zimusaidie kwa masilahi yake binafsi.
TBC inaemdeshwa kwa kodi zetu lakini bado inajifanya ni kama vile ni.mali ya CCM.
Tuanze na huku kwenye kodi zetu kabla hatujaanza kuhoji Mali za watu binafsi
Wanafanya kazi za Gazeti la UHURU na RADIO UHURU sasa na Mzee mengi nae anatumia vyombo vyake ajuavyo mwenyewe Haya ni matumizi mabaya ya Umiliki wa vyombo vya Habari pengine imetokana na yeye kujiona ni Gwiji wa Habari anaweza akafanya atakavyo hakuna wa kuhoja.
Mengi ni Mchaga, na lazima atetee saccos yao. We ona riport anazomtuma Devota Minja kuzirusha, zimekaa ki UKAWA tupu, na kutwa kucha ni kuriport mikutano ya chagadema na mara malumbano ya hoja wanaletwa wasaga sumu wa kueneza chuki dhidi ya serikali, huyu mzee mnafiki sana.

Ungepunguza kidogo, makali ya maneno yako.Ulitaka kitabu kizinduliwe kwenye makalio yako?
Mmh...... is it tribes must die, or tribalism should die?!For the nation to survive tribes must die
Mods mngekuwa mnatimiza wajibu wenu na kuwa fair kwa hili jamvi letu, ujinga kama huu wa mleta mada usingeruhusiwa kudumu hata kwa dakika tano. Kwa kweli mnaonesha dharau kubwa kwetu wana JF...fikiria mtu anaingia humu kwa mara ya kwanza kabisa halafu anakutana na upuuzi kama huu ulioletwa na anayejiita Makusudically; bila shaka akitudharau ni halali yake. Makusudi hapa ya Makusudically ni kuishushia hadhi JF, nothing more nothing less!
CC: Cookie, Mhariri, Active, Moderator
Ungepunguza kidogo, makali ya maneno yako.
Nadhani ungeishia tu kumwambia, je alitaka kitabu hicho kizinduliwe kwenye 'masaburi' yake?!
Mmh...... is it tribes must die, or tribalism should die?!