Hivi Reginald Mengi ni CHADEMA?

Hivi Reginald Mengi ni CHADEMA?

Makusudically

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2014
Posts
2,215
Reaction score
1,240
Wana JF naomba mnisaidie kujua hili kwa uwazi pasipo matusi na kejeli.
Najua wazi kuwa Mengi kuwa mwanachama fulani cha Siasa siyo dhambi wsla kosa, lakini hoja yangu ni pale anapotumia fursa aliyo nayo kutumia vyombo vya habari kukashfu chama tawala, anatoa fursa kwa viongozi wa Chadema kutoa kashfa kwa vyama vingine na kuyapa muda mwingi sana matukano na kejeli hizo, mfano ITV hutangaza habari nyinngi sana za Chadema hususan ni zile za maneno ya wabunge wanaozungumza mambo ya kuiponda Serikali, Pia kuna tukio jingine nalo lilitushangaza Watanzania, Kwanini Mtei alizindua kitabu chake cha "gother to governor" kwenye Hotel ya Mtei? Je tuamini kwamba ni kwa vile wote wanatoka ukanda mmoja? Naomba majibu ya hoja siyo kejeli na matusi.
 
Duuuh eti mtei alizindua kitabu chake kwenu hotel ya mtei.....unamaanisha nn? Hv TV yake inabidi iomyeshe wabunge wa chama gan ili kuondoa hzo nonsense questions ulizonazo? By ze way ccm wabunge wake kusisinzia ndo kionyeshwe hcho???
 
Mbona ..."Mengi's Gazzette,Nipashe ni Pro-CCM !
 
Chombo cha habari hakipaswi kuwa bias, ulitaka ITV nayo isionyeshe taarifa tuzitakazo kama TBC au ulitakaje, by the way hujitambui.
 
Si mlidai CDM ni chama cha wachaga?? Mengi ni mchaga, sasa sijui unalalamika nini?? Waachieni wachaga wajenge chama chao........................!!

kwel wewe ni zero
 
Wana JF naomba mnisaidie kujua hili kwa uwazi pasipo matusi na kejeli.
Najua wazi kuwa Mengi kuwa mwanachama fulani cha Siasa siyo dhambi wsla kosa, lakini hoja yangu ni pale anapotumia fursa aliyo nayo kutumia vyombo vya habari kukashfu chama tawala, anatoa fursa kwa viongozi wa Chadema kutoa kashfa kwa vyama vingine na kuyapa muda mwingi sana matukano na kejeli hizo, mfano ITV hutangaza habari nyinngi sana za Chadema hususan ni zile za maneno ya wabunge wanaozungumza mambo ya kuiponda Serikali, Pia kuna tukio jingine nalo lilitushangaza Watanzania, Kwanini Mtei alizindua kitabu chake cha "gother to governor" kwenye Hotel ya Mtei? Je tuamini kwamba ni kwa vile wote wanatoka ukanda mmoja? Naomba majibu ya hoja siyo kejeli na matusi.
Sasa wewe ulitakaje?

Inachofanya ITV ndiyo ethics za taaluma ya habari, ya kubalance habari. Kwa maana ya kutangaza habari za CCM, na vile vile kuzipa pia nafasi, habari toka vyama vya upinzani.

Pengine wewe ulichokuwa unataka, kwa kuwa Mengi ana kadi ya CCM, basi hata vyombo vyake, unataka viwe biased, wazi wazi kwa kupendelea CCM.

Taaluma ya habari hailikubali hilo, na ndiyo maana hata Star TV, ingawa mmiliki wake, Anthony Dialo, ni kada mkubwa sana wa CCM na pia ndiye mwenyekiti wa CCM, mkoa wa Mwanza, lakini bado Star TV, angalau inajitahidi tahidi, kubalance habari.

Mtu peke yake ambaye anaushangaza umma wa watanzania, ni Clement Mshana, mkurugenzi wa TBC, ingawa yeye Mshana anajua wazi kuwa TBC ni steshani ya umma, na inaendeshwa na kodi za watanzania wote, wanaccm na wale wa vyama vya upinzani, lakini TBC. inaonyesha upendeleo wa wazi wazi kwa CCM, kiasi cha kudhani pengine chombo hicho kinaendeshwa kwa pesa ya michango, ya wanaCCM peke yake!!
 
Shida yako kubwa ni Chadema kupewa Air time I.T.V hakuna kingine na kwasababu litbc linainyima nafasiw cdm basi ulitaka iwe hivyo na kwa I.T.V jambo ambalo haliwezekani kwasababu si chombo cha ccm kama ilivyo kwa Tbc na startv

BACK TANGANYIKA
 
We jamaa bwenga kabisa...
Kesi ya nyani unampelekea ngedere?
 
Auzungumzie kwanza tbc inayotumia fedha za walala hoi maana matajiri wanasamehewa kodo.Mengi anatumia fedha zake huna haja ya kumjadili hata atangaze TLP tu wiki nzima haikuhusu,inayokuhusu ni tbc ya watanganyika maana Zanzibar wana tv yao
 
Eti Mtei Alizindua Ktabu Chake Kwnye Hotel Ya Mtei, Ulitaka Azindulie Kwenye Hotel Yako??
 
Yaani Mnataka Media Zote Zipendelee Maccm?? We Kaa Na Tbccm Yako Na Startv
 
Mengi ni mnafiki sana, Hana uzalendo hata chembe, yeye anaangalia nani analinda maslahi yake tu! Ndio maana sasa anawatumia CHADEMA na wabunge wake kwenye ugomvi wake Binafsi na Prof.Muhongo.
 
Si mlidai CDM ni chama cha wachaga?? Mengi ni mchaga, sasa sijui unalalamika nini?? Waachieni wachaga wajenge chama chao........................!!

Bila shaka umemjibu.... Alivyo na akili ndogo atasema hili ni tamko rasmi
 
Wana JF naomba mnisaidie kujua hili kwa uwazi pasipo matusi na kejeli.
Najua wazi kuwa Mengi kuwa mwanachama fulani cha Siasa siyo dhambi wsla kosa, lakini hoja yangu ni pale anapotumia fursa aliyo nayo kutumia vyombo vya habari kukashfu chama tawala, anatoa fursa kwa viongozi wa Chadema kutoa kashfa kwa vyama vingine na kuyapa muda mwingi sana matukano na kejeli hizo, mfano ITV hutangaza habari nyinngi sana za Chadema hususan ni zile za maneno ya wabunge wanaozungumza mambo ya kuiponda Serikali, Pia kuna tukio jingine nalo lilitushangaza Watanzania, Kwanini Mtei alizindua kitabu chake cha "gother to governor" kwenye Hotel ya Mtei? Je tuamini kwamba ni kwa vile wote wanatoka ukanda mmoja? Naomba majibu ya hoja siyo kejeli na matusi.

Ulitaka kitabu kizinduliwe kwenye makalio yako?
 
Back
Top Bottom