Nimekuwa Nikifuatilia sana Media hasa redio na Televisheni hasa mijadala yake na namna wanavyowasaidia wananchi na watu wengine walioamua kuwasaidia. Natafakari sana ni chombo gani kwa sasa kinafanya critical analysis kuhusu masuala yanayoendelea. Hata Hizi Redia kubwa kama Radio Free Afrika na Clouds FM ama TBC na Radio One, mara nyingi naona wanafanya marudio tu ya Hoja. Sijui hata nisalie na redio gani ambayo tapata critical analysis ya issues napata matumaini kidogo kwa #RFA ingawa siana Hakika kama wadau nanyi mnaona matumaini.