ruaharuaha
JF-Expert Member
- Feb 14, 2018
- 4,453
- 5,718
Kama unaweza kumfokea mwanao mbele ya wenzake basi haufai kuwa mzazi na siku mwanao akikujibu mbovumbovu mbele ya WATU usimpige jua ni mbegu uliyoipanda.
Natamani ingekuwa hvyo usemavyo... Huyu anapenda tu attention ya media; nkikumbuka alipokuwa naibu wazr tamisemi, bungeni ilikuwa n full comedy!
Hapana, sioni hvyo. Ila n propagandist... He is not that much serious, he is acting. That's what I am saying!Kwahiyo unaona na yeye anaona comedy ndio itampa mamlaka, hajitambui kabisa.
Hebu tupia namie nioneMi napenda kile kipande cha ntoronto[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapana, sioni hvyo. Ila n propagandist... He is not that much serious, he is acting. That's what I am saying!
Hata mimi nampenda sana
Utampa Mzigo?
Hahaaaaa jamani yule Baba angu kabisa namweshimu sana aisee naanzaje kwanza?
Kama mleta thread alivyoandika, nami nashangaa amepatwa na nini. Wengi tunafahamu umakini wake, alipokuwa Mbunge na Waziri.Ni kweli ni MCHAPA KAZI, lakini sio wa VICHEKESHO CHEKESHO VYA KIJINGA jukwaani au makanisani.Tukipata mtu mchapakazi, anayeziangilia kodi zetu zinatumiwa vizuri tunaanza kulalamika.
Tunahitaji watu kama huyu waangilie pesa zetu kodi zetu zinatumika ipasavyo. Wawe wakali kwelikweli.
Mimi naona anafaaa kuwa waziri hata wa kilimo au viwanda.
Hahaha cariha una good sense of humour. Ila simamia ukweli hata kama kila mtu atakuchukia hapa JF, Ndivyo tulivyo hatupendi ukweli.
Kama mleta thread alivyoandika, nami nashangaa amepatwa na nini. Wengi tunafahamu umakini wake, alipokuwa Mbunge na Waziri.Ni kweli ni MCHAPA KAZI, lakini sio wa VICHEKESHO CHEKESHO VYA KIJINGA jukwaani au makanisani.
Mimi nitasema kweli daima fitina kwangu mwiko. Hyo ni kanuni mojawapo ya mwana TANU naipenda sana
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Mimi nitasema kweli daima fitina kwangu mwiko. Hyo ni kanuni mojawapo ya mwana TANU naipenda sana