souljah meditater
JF-Expert Member
- Oct 15, 2012
- 2,146
- 2,104
Ila hajui tu kuwa anajidhalilisha. Anajaza mate mdomoni halafu anaanza kufoka foka ili kutafuta kikiAmekuwa kituko sasa,magu naomba amtumbue tu tupumzike na FUTUHI zake.
Mbona umeuliza na kutoa jibu hapo hapo? Katika hii awamu hao ndio wanaotakiwa...waliofyatuka! Hivyo ndivyo alivyowahi kutamka "BWANA YULE" kwamba ni kichaa na sifa kubwa anayoitaka anapoteua ni hiyo, wawe vichaa kama yeye. Sasa ikitokea kwamba alifanya makosa alipokuteuwa kwani hukuwa kichaa lazima sasa uoneshe kuwa na wewe umo.
Ukilegealegea na kuanza kutumia busara badala ya ukichaa, lazima utumbuliwe. Watu kama Nape walishindwa kutambua hili mapema hivyo walijaribu kutenda majukumu yao wakitanguliza hekima na kilichowapata hawatakisahau. Alionesha ukichaa ulivyo hadharinj kwa kutolewa bastola na toka siku hiyo anajua hatari ya kichaa kupewa rungu.
RC Agrey Mwanri huenda akawa kipenzi cha bosi wake labda hata zaidi ya waliomtangulia kwani ni katika wale wanaojua namna ya kuji-adapt katika mazingira chini ya huu utawala. Asiachie hapo, aongeze juhudi hadi hata familia yake ione tofauti na kwamba baba kabadilika. Hongera Mwanri! Milango karibu itafunguka kwani katika awamu hii ukichaa unalipa.
Wabongo shida sana, mtu asipofanya kazi yake ni shida sana, akifanya ndio tabu mara 2, tumezidi uvuvi wa mwili na kiakili kwa kweli..
Na watu wendawazimu kama WEWE fyekelea mbali, sukuma ndani.Huyu RC Agrey Mwanri sasa amegeuka kuwa comedian wa Tabora.
Kila siku vyombo vya habari vimekuwa vikitoa clips mbalimbali ambazo anafanya vituko na ukimuangalia ni kama kwa sasa haziko level.
Mara fyekelea mbali, Sukumia ndani, jifanye unajikuna, akienda huko site ni makelele tu daah!
Any way ndiye aina ya watu anaowataka "BWANA YULE"
Ningehamishia ofc yangu saiti...Kwanini unafikiria hivyo, au sababu humpendi, angekuwa mzungu angepewa sifa kibao.
Angalia vitu alivyofanya, anavyofanya.
Wewe ungekuwa RC ungefanya nini, ungechukua hatua gani?
Ningehamishia ofc yangu saiti...
sio mchekeshaji ila ni kichekesho, kwa umri wake, maneno ya kihuni awaachie wenyewe
Acha ujingaIla hajui tu kuwa anajidhalilisha. Anajaza mate mdomoni halafu anaanza kufoka foka ili kutafuta kiki
Amuulize mwijageHuyu RC Agrey Mwanri sasa amegeuka kuwa comedian wa Tabora.
Kila siku vyombo vya habari vimekuwa vikitoa clips mbalimbali ambazo anafanya vituko na ukimuangalia ni kama kwa sasa haziko level.
Mara fyekelea mbali, Sukumia ndani, jifanye unajikuna, akienda huko site ni makelele tu daah!
Any way ndiye aina ya watu anaowataka "BWANA YULE"
Huyu jamaa inabidi amtafute blogger awe ana updates vituko vyake maana daah...nyoosha uone, emb jifanye unajikuna, jifanye unajikuna halafu uone!