Hivi rais Samia huwa anaambiwa ukweli na wasaidizi wake? Kuna Mtanzania yoyote ana imani na Mahakama hii inayomuweka Lissu Mahabusu bila kosa?

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,773
Reaction score
5,930
Nimeangalia sasa hivi anahutubia huko Dodoma kuwa Watanzania wana imani na mahakama.

Huu ni uongo. Maana mahakama yenyewe imejaa rushwa na maonevu. watu wengi wapo mahakamani hawana makosa.

Lissu hana makosa lakini hakuna Jaji aliyethubutu kumuachia pamoja na kuwa mpaka sasa jamhuri haina ushahidi zaidi ya uhuni tu.
 
Mwandamizi na muasisi wa ccm mtandao alishaongea kwamba mahakama zetu kuna wakati zimapigiwa simu.muenendo.wa shauri uelekee upande gani.

Sisi kina.nani tuamini kuna haki
 
Nimeangalia sasa hivi anahutubia huko Dodoma kuwa Watanzania wana imani na mahakama.

Huu ni uongo. Maana mahakama yenyewe imejaa rushwa na maonevu. watu wengi wapo mahakamani hawana makosa.

Lissu hana makosa lakini hakuna Jaji aliyethubutu kumuachia pamoja na kuwa mpaka sasa jamhuri haina ushahidi zaidi ya uhuni tu.
huwa anaambiwa, sema mara nyingi huwa anawaza nywi nywi nywi na nywa nywa nywa
 
Nimeangalia sasa hivi anahutubia huko Dodoma kuwa Watanzania wana imani na mahakama.

Huu ni uongo. Maana mahakama yenyewe imejaa rushwa na maonevu. watu wengi wapo mahakamani hawana makosa.

Lissu hana makosa lakini hakuna Jaji aliyethubutu kumuachia pamoja na kuwa mpaka sasa jamhuri haina ushahidi zaidi ya uhuni tu.

Sisi wanasheria kupitia TLS tulimpania tumweleze Rais Samia Mgeni Rasmi AGM ya TLS: Wanasheria Tumweleze Ukweli Kuhusu Ubatili wa Katiba Yetu na Sheria Zetu, Turudishe Haki Kuu ya Msingi

P
 
P

Kwani yeye mwenyewe hawezi kutumia common sense au yeye ni kama computer anatema kutokana na alichoambiwa.... Garbage in Garbage Out (GIGO) ?
 
Sio kwamba hajui wananchi hawana imani na mahakama, ila anajua viongozi haswa Rais ndio sababu ya wananchi kupoteza imani na mahakama. Lazima aseme hivyo, kwani atawaudhi mahakama kwakuwa wanajua madaraka ya urais ndio yamechangia wananchi kukosa imani na mahakama, na ushahudi upo.
 
Nimeangalia sasa hivi anahutubia huko Dodoma kuwa Watanzania wana imani na mahakama.

Huu ni uongo. Maana mahakama yenyewe imejaa rushwa na maonevu. watu wengi wapo mahakamani hawana makosa.

Lissu hana makosa lakini hakuna Jaji aliyethubutu kumuachia pamoja na kuwa mpaka sasa jamhuri haina ushahidi zaidi ya uhuni tu.
Sometimes nadhani... Au basi..!
 
Fahamu kwamba hayupo mtu wa kumwambia Samia ukweli, iwe ni mihimili mingine au wakuu wa vyombo. Hayupo huyo mtu
 
Nimeangalia sasa hivi anahutubia huko Dodoma kuwa Watanzania wana imani na mahakama.

Huu ni uongo. Maana mahakama yenyewe imejaa rushwa na maonevu. watu wengi wapo mahakamani hawana makosa.

Lissu hana makosa lakini hakuna Jaji aliyethubutu kumuachia pamoja na kuwa mpaka sasa jamhuri haina ushahidi zaidi ya uhuni tu.
Screenshot_20251212-173144~2.png
 
Nimeangalia sasa hivi anahutubia huko Dodoma kuwa Watanzania wana imani na mahakama.

Huu ni uongo. Maana mahakama yenyewe imejaa rushwa na maonevu. watu wengi wapo mahakamani hawana makosa.

Lissu hana makosa lakini hakuna Jaji aliyethubutu kumuachia pamoja na kuwa mpaka sasa jamhuri haina ushahidi zaidi ya uhuni tu.
wewe ndo peke yako unaona hana kosa
 
Back
Top Bottom