Hivi rais Magufuli amemtendea nini masikini mpaka sasa?

Sukari imepanda bei wanacheka!, wanachuo waliodahiliwa Na serikali wanaitwa vilaza wanafukuzwa Na Jesca Na qualification tata anauhakika wa kupata degree wanacheka!, jipu la lugumi kizungumkuti wanacheka, Zanzibar demokrasia kubakwa hadharani wanacheka,@ LB-7!.
Swala la Zanzibar na ujinga Wa ukawa..

Refa ( tume ya uchaguzi)/imeamuru uchaguzi urudiwe under the same condition alafu unasusa ,!! Unataka usaidiweje..

Ukawa Wa Tanzania bara walitakiwa wajae waungane na wenzao Wa Zanzibar kulinda kura badala yake wakasusa!!!

Wasalimie Tarangire
 
Binafsi mimi kama mtanzania wa hali ya chini Nampongeza Dr Magufuli kwa hatua anazozichukua hususani ktk kilimo ambacho weng tunategemea ni imani yangu tukimuunga mkono tutafika mbali mfano kodi ya mafuta ya kula kutoka nje sasa ni 10% hii itasaidia wakulima wa mazao ya kukamua mafuta kuongeza soko la ndani
 
Swala la Zanzibar na ujinga Wa ukawa..

Refa ( tume ya uchaguzi)/imeamuru uchaguzi urudiwe under the same condition alafu unasusa ,!! Unataka usaidiweje..

Ukawa Wa Tanzania bara walitakiwa wajae waungane na wenzao Wa Zanzibar kulinda kura badala yake wakasusa!!!

Wasalimie Tarangire
Na mengine......!?, Tarangire ndio kwenu?, wala sijaolea huko, kwa hiyo sina wa kumsalimia!. Nenda Tu mwenyewe mwenye kwenu!.
 
Binafsi mimi kama mtanzania wa hali ya chini Nampongeza Dr Magufuli kwa hatua anazozichukua hususani ktk kilimo ambacho weng tunategemea ni imani yangu tukimuunga mkono tutafika mbali mfano kodi ya mafuta ya kula kutoka nje sasa ni 10% hii itasaidia wakulima wa mazao ya kukamua mafuta
Sijui Una maanisha nini?, mbona mafuta ya Kula yanayozalishwa hapahapa bei yake ipo juu kuzidi ya nje kitambo Tu!, Ina maana wakulima walikuwa hawanufaiki?, pia sijui Kama unajua uwiano Kati ya uwezo wetu wa kuzalisha Na chakula tunachoagiza kutoka nje?, sawa furahia mafuta ya nje kutozwa kodi kubwa wakati uzalishaji wetu hautoshelezi soko, kipato cha wana wa nchi bado kipo chini!, hivyo hakuna "compensated demand" kwa mafuta ya ndani Na mfumuko wa bei ukifanya yake tusianze kuongozana Na polisi kutafuta walioficha mafuta ya Kula!.
 
Miezi6 Tu Huwezi Kupata Maendeleo Ya Kasi, Budget Ndio Kwaaaanza Imesomwa, Subiri Mkuu Acha Haraka, Najua Umeguswa Njaa Imekukamata Mkuu
 
Kuna sarakasi nyingi zinaendelea hapa tanzania nadhani zimezidi hata zile kungfu wanazocheza kina jakchang na kina donen kwa watazamaji wa move za kichina na kikorea wananelewa sana.

kwa wewe usiyefurahisha macho kwa kuangalia move za aina hii kwasababu ya kile unachokiita ubize wa kazi acha nikudokeze kidogo tabia ya move hizi; hizi move kama hujui kazi ya computer unaweza kusema kile unachokiona ndo ukweli kabisa maana kwa kweli hazina chembe ya uigizaji kwa kuzitazama japo ni uigizaji zinafanana na ukweli mtupu. utajua tu ni za uongo pale utakapoona kwenye move donen kafa lakini kwenye uhalisia yuko hai!

Wengi hapa wanalalama ndani ya mioyo yao kwani huyu muandishi anataka kusema nini? mbona mara atuletee mabo jackchang mara Don En kwanini Jamii forum ni jukwaa la move za kichina? la hasha! nataka tu uelewe kwamba wapo waigizaji nguli ambao maigizo yao ni kama ukweli unapoyatazama na hayatii shaka kuyaamini.

Sasa nataka turudi Tanzania yenye mahakama ya mafisadi, viwanda, kila mwalimu laptop, million hamsini na mengine mengi. Ni juzi tu hapa tumeambiwa nchi imevunja record ya tangu uhuru wake kwa kukusanya mapato makubwa kwa mwezi January-February......Sasa nakuuliza wewe uliyeko hapa mjini tu Goba je maji yamekufikia? sitaki kumuuliza wa Mdimba maana naweza kumuamshia machungu anayojaribu kusahaulishwa.

Ni hivi majuzi tu tumeambiwa watoto wa vigogo wamerithishana BOT naukuuliza Mr Don En the master himself umewachukulia hatua gani?

Tuliambiwa serikali iliyopita mafisadi walikua wanakamatwa alafu wanacheleweshwa kuhukumiwa! nakuuliza Master Don En wale wa nyumba sabini ni muda gani tangu utuonyeshe kwenye fimbo yako ya mkono wa kulia (vyombo vya habari) hawajachukuliwa hatua na tayari tunasahaulishwa?

Mdanganyika amka kabla panya buku hawajamaliza kula mguu wako huku wakikupuliza usisikie maumivu. tuliambiwa mama ntilie na bodaboda watatengenezewa mazingira mazuri ya kufanya kazi zao bila bugudha jamani mama ntilie na bodaboda nijibuni mko salama?

Sitaki kuzungumzia ya dada Jesca nisije nikaonekana nashupalia, lakini najiuliza hivi kuna Cinema bora iliyotoka mwaka 2016 kuliko hii? yaani kwa ujasiri namuita Juma bumbuazi kilaza kumbe Salma wangu ni hamna kitu! kwakweli hiki ni kiwango kikubwa sana cha uigizaji, watu wa aina hii walipaswa kwa hapa kwetu kufidia nafasi ya Kanumba Mungu "ampuumzishe kwa amani"

Najiuliza, hivi koki ilipofunguliwa kwa amri ya waziri nani aliwajibishwa na kwasababu gani wakati Don the legend himself alisema siangalii mtu uson ukifanya uzembe unakwenda utupishe tuchape kazi?mhhh hapa nabaki nikiguna tu na kusema usipostaajabia ya musa subiri uyaone ya firauni..

Lakini mdanganyika mimi kuna saa najiuliza hivi ni kweli nina akili finyu kiasi chakuchezewa move zoote hizi alafu sishtuki? saa nyingine najiuliza au nimepuliziwa dawa ya usingizi?

Ee Mungu nisaidie niamke nianze kuwaza upya.
Umebwabwaja na kuhororoja sana lakini umeshindwa kabisa kuelewa dhanna ya hapa kazi tu.
 
Sijui Una maanisha nini?, mbona mafuta ya Kula yanayozalishwa hapahapa bei yake ipo juu kuzidi ya nje kitambo Tu!, Ina maana wakulima walikuwa hawanufaiki?, pia sijui Kama unajua uwiano Kati ya uwezo wetu wa kuzalisha Na chakula tunachoagiza kutoka nje?, sawa furahia mafuta ya nje kutozwa kodi kubwa wakati uzalishaji wetu hautoshelezi soko, kipato cha wana wa nchi bado kipo chini!, hivyo hakuna "compensated demand" kwa mafuta ya ndani Na mfumuko wa bei ukifanya yake tusianze kuongozana Na polisi kutafuta walioficha mafuta ya Kula!.
kama hutosheleshi kalime tayari hiyo ni fursa ndo maana yang
 
JMP anatengeneza mfumo ambao utasaidia kuwawezesha mtanzania yoyote kupata haki yake na kufanikiwa bila kujali kipato chake. Mfano: Elimu bure, Afya access kwa bima na wazee bure, Kubana matumizi kwa ajili hizo helazitumike kupeleka maji vijijini navitu vingi tu. Tunatakiwa kukumbuka tulipotoka kwani watu walikuwa wanapewa huduma kutokana na surname zao.
alietimuliwa udom ingawa ana DIV ONE anaweza asikuelewe unachomaanisha
 
Kuna sarakasi nyingi zinaendelea hapa tanzania nadhani zimezidi hata zile kungfu wanazocheza kina jakchang na kina donen kwa watazamaji wa move za kichina na kikorea wananelewa sana.

kwa wewe usiyefurahisha macho kwa kuangalia move za aina hii kwasababu ya kile unachokiita ubize wa kazi acha nikudokeze kidogo tabia ya move hizi; hizi move kama hujui kazi ya computer unaweza kusema kile unachokiona ndo ukweli kabisa maana kwa kweli hazina chembe ya uigizaji kwa kuzitazama japo ni uigizaji zinafanana na ukweli mtupu. utajua tu ni za uongo pale utakapoona kwenye move donen kafa lakini kwenye uhalisia yuko hai!

Wengi hapa wanalalama ndani ya mioyo yao kwani huyu muandishi anataka kusema nini? mbona mara atuletee mabo jackchang mara Don En kwanini Jamii forum ni jukwaa la move za kichina? la hasha! nataka tu uelewe kwamba wapo waigizaji nguli ambao maigizo yao ni kama ukweli unapoyatazama na hayatii shaka kuyaamini.

Sasa nataka turudi Tanzania yenye mahakama ya mafisadi, viwanda, kila mwalimu laptop, million hamsini na mengine mengi. Ni juzi tu hapa tumeambiwa nchi imevunja record ya tangu uhuru wake kwa kukusanya mapato makubwa kwa mwezi January-February......Sasa nakuuliza wewe uliyeko hapa mjini tu Goba je maji yamekufikia? sitaki kumuuliza wa Mdimba maana naweza kumuamshia machungu anayojaribu kusahaulishwa.

Ni hivi majuzi tu tumeambiwa watoto wa vigogo wamerithishana BOT naukuuliza Mr Don En the master himself umewachukulia hatua gani?

Tuliambiwa serikali iliyopita mafisadi walikua wanakamatwa alafu wanacheleweshwa kuhukumiwa! nakuuliza Master Don En wale wa nyumba sabini ni muda gani tangu utuonyeshe kwenye fimbo yako ya mkono wa kulia (vyombo vya habari) hawajachukuliwa hatua na tayari tunasahaulishwa?

Mdanganyika amka kabla panya buku hawajamaliza kula mguu wako huku wakikupuliza usisikie maumivu. tuliambiwa mama ntilie na bodaboda watatengenezewa mazingira mazuri ya kufanya kazi zao bila bugudha jamani mama ntilie na bodaboda nijibuni mko salama?

Sitaki kuzungumzia ya dada ***** nisije nikaonekana nashupalia, lakini najiuliza hivi kuna Cinema bora iliyotoka mwaka 2016 kuliko hii? yaani kwa ujasiri namuita Juma bumbuazi ****** kumbe Salma wangu ni hamna kitu! kwakweli hiki ni kiwango kikubwa sana cha uigizaji, watu wa aina hii walipaswa kwa hapa kwetu kufidia nafasi ya Kanumba Mungu "ampuumzishe kwa amani"

Najiuliza, hivi koki ilipofunguliwa kwa amri ya waziri nani aliwajibishwa na kwasababu gani wakati Don the legend himself alisema siangalii mtu uson ukifanya uzembe unakwenda utupishe tuchape kazi?mhhh hapa nabaki nikiguna tu na kusema usipostaajabia ya musa subiri uyaone ya firauni..

Lakini mdanganyika mimi kuna saa najiuliza hivi ni kweli nina akili finyu kiasi chakuchezewa move zoote hizi alafu sishtuki? saa nyingine najiuliza au nimepuliziwa dawa ya usingizi?

Ee Mungu nisaidie niamke nianze kuwaza upya.
Watoto wanasoma bila malipo,vifaa vya ujenzi vimeshuka bei eg cement,gharama za umeme zimepungua sana,kuhakikisha mradi wa mabasi ya mwendo kasi yanafanya kazi na nauli zilingane na mlalahoi, na mengine mengi kuna kuondoa watumish hewa,kusimamia mapato ya taifa hasa kwenye vyanzo kama bandar ,kuhakikisha wakwepa kodi wana lipa na mengine ngoja niendelee kukumbuka ila yapo,
 
Ukitaka kujua Magufuli kawafanyia nini maskini tuulize sisi watoto wa maskini.
 
Kuna sarakasi nyingi zinaendelea hapa tanzania nadhani zimezidi hata zile kungfu wanazocheza kina jakchang na kina donen kwa watazamaji wa move za kichina na kikorea wananelewa sana.

kwa wewe usiyefurahisha macho kwa kuangalia move za aina hii kwasababu ya kile unachokiita ubize wa kazi acha nikudokeze kidogo tabia ya move hizi; hizi move kama hujui kazi ya computer unaweza kusema kile unachokiona ndo ukweli kabisa maana kwa kweli hazina chembe ya uigizaji kwa kuzitazama japo ni uigizaji zinafanana na ukweli mtupu. utajua tu ni za uongo pale utakapoona kwenye move donen kafa lakini kwenye uhalisia yuko hai!

Wengi hapa wanalalama ndani ya mioyo yao kwani huyu muandishi anataka kusema nini? mbona mara atuletee mabo jackchang mara Don En kwanini Jamii forum ni jukwaa la move za kichina? la hasha! nataka tu uelewe kwamba wapo waigizaji nguli ambao maigizo yao ni kama ukweli unapoyatazama na hayatii shaka kuyaamini.

Sasa nataka turudi Tanzania yenye mahakama ya mafisadi, viwanda, kila mwalimu laptop, million hamsini na mengine mengi. Ni juzi tu hapa tumeambiwa nchi imevunja record ya tangu uhuru wake kwa kukusanya mapato makubwa kwa mwezi January-February......Sasa nakuuliza wewe uliyeko hapa mjini tu Goba je maji yamekufikia? sitaki kumuuliza wa Mdimba maana naweza kumuamshia machungu anayojaribu kusahaulishwa.

Ni hivi majuzi tu tumeambiwa watoto wa vigogo wamerithishana BOT naukuuliza Mr Don En the master himself umewachukulia hatua gani?

Tuliambiwa serikali iliyopita mafisadi walikua wanakamatwa alafu wanacheleweshwa kuhukumiwa! nakuuliza Master Don En wale wa nyumba sabini ni muda gani tangu utuonyeshe kwenye fimbo yako ya mkono wa kulia (vyombo vya habari) hawajachukuliwa hatua na tayari tunasahaulishwa?

Mdanganyika amka kabla panya buku hawajamaliza kula mguu wako huku wakikupuliza usisikie maumivu. tuliambiwa mama ntilie na bodaboda watatengenezewa mazingira mazuri ya kufanya kazi zao bila bugudha jamani mama ntilie na bodaboda nijibuni mko salama?

Sitaki kuzungumzia ya dada ***** nisije nikaonekana nashupalia, lakini najiuliza hivi kuna Cinema bora iliyotoka mwaka 2016 kuliko hii? yaani kwa ujasiri namuita Juma bumbuazi ****** kumbe Salma wangu ni hamna kitu! kwakweli hiki ni kiwango kikubwa sana cha uigizaji, watu wa aina hii walipaswa kwa hapa kwetu kufidia nafasi ya Kanumba Mungu "ampuumzishe kwa amani"

Najiuliza, hivi koki ilipofunguliwa kwa amri ya waziri nani aliwajibishwa na kwasababu gani wakati Don the legend himself alisema siangalii mtu uson ukifanya uzembe unakwenda utupishe tuchape kazi?mhhh hapa nabaki nikiguna tu na kusema usipostaajabia ya musa subiri uyaone ya firauni..

Lakini mdanganyika mimi kuna saa najiuliza hivi ni kweli nina akili finyu kiasi chakuchezewa move zoote hizi alafu sishtuki? saa nyingine najiuliza au nimepuliziwa dawa ya usingizi?

Ee Mungu nisaidie niamke nianze kuwaza upya.
Sukari toka 1800 Hadi 3000 au huoni[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Democrasia ni mm na ww kwan hata ulaya imewashinda ndio maana kila SK makundi yanayopigania ikulu na utawala ni mengi,pia masikin tupo hatumpimi rahis kwa kuona kasaidia masikin gan tunampima rais kaweka mising gani ktk taifa,ili wote tunufaike na raslimali zetu
 
We, sukari ilishafika 5,000/- baadhi ya maeneo nchini na sasa waziri wa viwanda kasema isizidi 2,500/-, haya hamyaoni!??
 
Basi mkuu tumeona! kumbe tuiliakua na macho lakini vipofu
 
Back
Top Bottom