kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 17,649
- 21,850
Kwamba ilizingatiwa mzunguko wa hedhi kukoma
Niliwahi kuuliza hili swali moderators wakaishia kuufuta uzi wangu.Je maamuzi yake yatatekelezwa hata kama ni matokeo ya mimba? Je ataacha madaraka kamili kwa makamu wake?
AnazaaJe maamuzi yake yatatekelezwa hata kama ni matokeo ya mimba? Je ataacha madaraka kamili kwa makamu wake?
Kwa Tanzania ni ngumu kutokea maana mgombea mpaka akidhi vigezo lazima umri uwe umesonga angalau 50+ sio chini ya hapo.Je maamuzi yake yatatekelezwa hata kama ni matokeo ya mimba? Je ataacha madaraka kamili kwa makamu wake?
Usiseme haupo mkuu sema uwezekano ni mdogoKwa Tanzania ni ngumu kutokea maana mgombea mpaka akidhi vigezo lazima umri uwe umesonga angalau 50+ sio chini ya hapo.
Na wanawake wengi wakishafika huo umri wanakuwa wameshafika kwenye menopause tayari hivyo uwezo wa kushika mimba haupo.
sawa mkuu.kuna jamaa nimeona anauza Samsung A05 170k tukidonate 1000×170 =170k uchukue hio simu chief
Huyu amezaa akiwa aged 66 66-Year-Old Woman Gives Birth To A BabyNdio maana katiba inasema mgombea wa Urais awe na angalau miaka 40
Mdogo sana.Usiseme haupo mkuu sema uwezekano ni mdogo
😅😅Mkuu mbona siku hizi umeacha kuleta zile nyuzi za ngono?
Kwa mwamposaKwani bibi kiziwi ana miaka mingapi? Umri wa kubeba si ushapita, au ndo itatokea kama miujiza ya sarah wa Abraham
Yule akipigwa mashine vizuri anashika mkuu.
Mwamposa, Mtume wa mchongo, miujiza yake ni maji na kukanyaga mafutaKwa mwamposa
KabisaMwamposa, Mtume wa mchongo, miujiza yake ni maji na kukanyaga mafuta