Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,087
- 6,390
![]()
![]()
![]()
noma sana haya sio mahaba tena
Prof anakubalika kwa rika zote...ndio maana hata wewe umepita hapa..au sio
![]()
![]()
![]()
noma sana haya sio mahaba tena
Sijasema sio LEGENDJay ni Ligend wewe
kama hii uliyovuta ndio uka comment???sugu na prof j hawajielewi kabisa bange zimewawehusha
Ndio nini sasa? Ni kitu gani hicho mbona sielewiKama umezoea zile za juma juma dede.huwezi kuelewa hii