Hivi Polisi wana Taarifa za huu mkutano?

Naona mitaa ya mbezi hapa kuna shamra shamra za chama chetu tawala. Zimefana sana.

Ila natamani leo jeshi letu lingetuonesha kuwa Watanganyika wote ni sawa kwa kuleta yale magari vita pendwa ili kuzuia sherehe hizi.

Maana hata Baba Mwenye nyumba alishasema kuwa Polisi wasiwaone Watanzania ni wajinga
View attachment 1083200View attachment 1083201
Nikajua ni kilombero tu kumbe hata DSM
 
'Wanyonge' ndio hawaruhusiwi kufanya mikutano ya siasa wala sherehe, wanatakiwa wakapige kazi ili walipe kodi kisha chama cha mapinduzi na mwenyekiti wao wazitumbue watakavyo.
Kwani si alisema ni ......... wa wanyonge
 
sasa hivi chadema hata wakiruhusiwa kufanya mikutano ya nje sidhani kama wana uwezo wa kula ugali na biriani maana wamechoka ni kama vile mtu aliyeachiwa huru kutoka gerezani ,ku recover huwa inamchukua mda na wengine huuona uhuru wa mtaani zaidi ya jela ,hivyo hufanya makosa tena ili waweze kurudi gerezani,chadema ya zamani iliendeshwa na wanachama hai kwa kudumbukiza pesa kwenye magunia yaliyokuwa yakipitishwa kwa kauli mbiu ya nguvu ya umma lakini kwa sasa chadema imepoteana,wanachama wake wamepoteana na vijana waliokuwa wakimsapoti Dr slaa mliwakatisha tamaa na kwa sasa vyuma vimewakazia hivyo naona tuendelee kukutana twitter tu.
 
Ee Mungu wewe ndiwe mwenye haki, watesi wetu sasa wamekuwa miungu watu, sasa wanatuuliza Mungu wenu yuko wapi? Nasi tunawajibu Mungu wetu yuko mbinguni chochote anachotaka hukifanya!
 
Uko sahihi mkuu..

Hili lingefaa kufanyiwa kazi mapema saaana
Kwenye barua ya wazi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania niliyomwandikia Rais mwanzoni mwa mwaka huu, naona baada ya kuisoma alielewa kipengele kimoja tu: Ya kwamba yeye si mtawala bali Ni mtumishi wa Wananchi. Hii ni kwa sababu siku hizi katika kila jukwaa atakalosimama hakosi kulisisitiza hili.
Lakini Kuna mengi Mhe Rais hakuyaelewa. Mojawapo Ni hili la ubaguzi hasa wa kivyama. Huwezi kutoa amri inayogawa watu katika makundi ya kivyama katika nchi halafu ukadai Wewe Ni mtumishi wa wote. Haiwezekani. Rais hawezi kutumikia mabwana wawaili. Ni lazima atumikie bwana mmoja: Wananchi wa Tanzania.
Sasa Rais anatoa amri inayotugawa Watanzania katika makundi ya vyama leo, kesho atatoa inayotugawa katika dini, na keshokutwa itakuwa ya kutugawa katika makabila. Kama umeamua kutoa amri haramu inayoumiza, ni Bora amri hiyo iwe kwa wote. Ni lazima iwe sawa na msumeno, ilayo kotekote.
Utashangaa akina Bashiru wanashadidia hali hiyo. Bashiru, 'you have to take the bull by its horns.' Tell the Chairman the truth of the matter. That's open segregation!!!
 
Ukiweza kusoma ulichokiandika tipwa tipwa atavua nguo ateteme

sasa hivi chadema hata wakiruhusiwa kufanya mikutano ya nje sidhani kama wana uwezo wa kula ugali na biriani maana wamechoka ni kama vile mtu aliyeachiwa huru kutoka gerezani ,ku recover huwa inamchukua mda na wengine huuona uhuru wa mtaani zaidi ya jela ,hivyo hufanya makosa tena ili waweze kurudi gerezani,chadema ya zamani iliendeshwa na wanachama hai kwa kudumbukiza pesa kwenye magunia yaliyokuwa yakipitishwa kwa kauli mbiu ya nguvu ya umma lakini kwa sasa chadema imepoteana,wanachama wake wamepoteana na vijana waliokuwa wakimsapoti Dr slaa mliwakatisha tamaa na kwa sasa vyuma vimewakazia hivyo naona tuendelee kukutana twitter tu.
 
sasa hivi chadema hata wakiruhusiwa kufanya mikutano ya nje sidhani kama wana uwezo wa kula ugali na biriani maana wamechoka ni kama vile mtu aliyeachiwa huru kutoka gerezani ,ku recover huwa inamchukua mda na wengine huuona uhuru wa mtaani zaidi ya jela ,hivyo hufanya makosa tena ili waweze kurudi gerezani,chadema ya zamani iliendeshwa na wanachama hai kwa kudumbukiza pesa kwenye magunia yaliyokuwa yakipitishwa kwa kauli mbiu ya nguvu ya umma lakini kwa sasa chadema imepoteana,wanachama wake wamepoteana na vijana waliokuwa wakimsapoti Dr slaa mliwakatisha tamaa na kwa sasa vyuma vimewakazia hivyo naona tuendelee kukutana twitter tu.
Uko sahihi
 
Back
Top Bottom