Kwa uelewa wangu, mitego ya pesa ipo kwenye fursa zilizopo mtaani hizi fursa huweza kuwa ni changamoto na matatizo ya watu mfano Mwamposa anatembelea V8 kutokana na matatizo ya watu na sikuhizi kuna watu wanauza machine za kukunia nazi kwahiyo wametumia fursa kutengeza pesa.
Ila kuconvert fursa kuwa hela ndo kunahitaji akili.