Hivi pantoni ni Meli au si meli?

Kwa wanaojua ningependa kufafanuliwa kuhusu hii Mada maana tumebishana Sana na Wana mbeya wenzangu ambao hata pantoni hatujawahi kupanda kwa upande wangu niliwajibu kuwa pantoni ni Meli basi kila mtu akawa anasema lake..... Ufafanuzi kwa wanaofahamu pantoni ni nini jamani nipate kuwaeleimisha Hawa wananzengo wenzangu.
Pantoni ndio Ferry nadhani, yaani kivuko kinachovusha vitu na watu kutoka ng'ambo moja kwenda nyingine kwa umbali mfupi..

Mfano wa Pantoni waweza enda jionea pale DSM, MV Magogoni na kanda ya ziwa pale Kigongo Ferry na Busisi kuna MV Misungwi, MV Sengerema na MV Mwanza au kule Kamanga Ferry...
 
Kwa wanaojua ningependa kufafanuliwa kuhusu hii Mada maana tumebishana Sana na Wana mbeya wenzangu ambao hata pantoni hatujawahi kupanda🤣🤣 kwa upande wangu niliwajibu kuwa pantoni ni Meli basi kila mtu akawa anasema lake..... Ufafanuzi kwa wanaofahamu pantoni ni nini jamani nipate kuwaeleimisha Hawa wananzengo wenzangu.
Hivi bajaj ni pikipiki au ni gari
 
Back
Top Bottom