Hivi nyoka ana kelele kama mjusi?

Hivi nyoka ana kelele kama mjusi?

Nimevuta picha sauti ya nyoka inavokua hapa nipo nawaza ntalalaje leo,hawa viumbe wa kuitwa snake nawaogopa kuliko kitu chochote
 
Sauti ya namna gani unayoisikia?

Nyoka muda mwingi sauti yake inatoka kama ssss au hissing, kutegemea na situation anaweza akaitoa kwa ukali na hissing ikawa ndefu au ikawa ndefu lakini ya chini chini.

Nyoka wengine hua wanatoa sauti ya buzzing, yaani kama simu ikiwa inavibrate ile zzzzzz ila hawa ni rattle snake na hawapo kila sehemu.

Hissing ni ile sauti kama paka akikasirika na kubinua mgongo huku anatoa sauti.

Unasikia sauti ya namna gani?
Duuh
 
Hahahaha ngoja siku yakinipanda nikufuate pm na bonge la hadithi na picha za nyoka
Uweeee utafanya nilale usingizi wa mang'amu ng'amu wiki nzima,naogopa hata picha.Yani kuna uzi huko wametupia na picha kwa kweli usiku wa leo ni mgumu sana kwangu,najuta kufungua ule uzi
 
Jiandae anaconda anakuja
 
Sauti ya namna gani unayoisikia?

Nyoka muda mwingi sauti yake inatoka kama ssss au hissing, kutegemea na situation anaweza akaitoa kwa ukali na hissing ikawa ndefu au ikawa ndefu lakini ya chini chini.

Nyoka wengine hua wanatoa sauti ya buzzing, yaani kama simu ikiwa inavibrate ile zzzzzz ila hawa ni rattle snake na hawapo kila sehemu.

Hissing ni ile sauti kama paka akikasirika na kubinua mgongo huku anatoa sauti.

Unasikia sauti ya namna gani?
Paka akikasirika mlio anaotoa ni Hissing ?

Ndio kwanza nasikia leo ,labda paka wenu wa mjini ndio wanao hiss ila huku Koromije paka hukoroma
 
Yaani wewe haujaandika tuelimishane umeandika kibabe kama vile unajua kila kitu.

Waliokaa chini na kukubaliana kua hissing hutumiwa na paka hawakua wajinga.

IMG_20180419_234825.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom