Hivi nyinyi wanawake mbona makatili sana

Hivi nyinyi wanawake mbona makatili sana

unachokisema ni sawa mkuu miss chagga ila kwanini mtu uwe mdokozi ? wakati mmeenda kupeana "maji ya raha?"
Mie nadhani pia inabidi tuwe tuna angalia na "pompo" ya kwenda kukamua ili tusije kwenda kamua hadi "vipanga" vikakuacha apeche aroro mwanaume ukaumbuka.

akili za juu zikiamia chini ni shida sana
 
"Tunataka kiongozi ambaye anachukia rushwa, na hata tukimwangalia usoni tunaamini anachukia rushwa, Sio ambaye hata ukimuangalia unajiuliza, mnh, huyuu????!"-Mwl Nyerere
Umekuja ofisini, pamoja na u busy wangu nikakupokea kwa ukarimu,nikakuhudumia kwa kiwango ambacho hakitamkiki na mwenyewe ukafurahi, ingawa dedline ya hiyo kitu ilikuwa imeisha lakini nikapigana kukufanikishia azma yako

Kwa upole na unyenyekevu wakati unaniaga ukaona unipe namba yako in case for anything mi sikukuomba na wala sikuwa na uhitaji wa hilo, ila kwa kuwa ni mrembo mi nikavutiwa na wewe, siku hyo hyo tukakubaliana tukutane mahali tubadilishane mawazo ukakubali bila hiyana.

Ukala vitu vyangu vya takribani 70,000/= nikakuomba papuchi wala hukuwa mkaidi ukanipa siku hiyohiyo.Namaliza kukugegeda naenda kuosha le dushe, we unazama kwenye wallet yangu unaiba 140,000/=.Tunaagana nimekupa 50,000/=narudi nyumbani, kukagua wallet yangu nakuta pesa pungufu na hesabu zangu nakuuliza unakataa na kuapa kabisa.

Ina maana ule ukarimu wangu wote ofisini mpaka pale Hoteli ni bure kabisa, hivi kwa nini nyinyi wanawake wa siku hizi mna roho mbaya hivyo jamani

Sasa we umeniibia mi sihangaiki na wewe, nakupa siku tatu uwe umerudisha pesa zangu vinginevyo mi nakumaliza ofisini kwenye yale mambo yako.

Unajijua # Juzi.
 
Kwa maelezo yako we ndo mzembe!!tamaa mbele kifo nyuma!!

Utatembea na customer wangapi kwa style hiyo eti Kisa umemsaidia,halafu kakupa namba mwenyewe,halafu ni mrembo ukaona mkutane mbadilishane mawazo,sasa kubadilishana mawazo ukaomba na mgegedo kabisa!!wakaka wengine bwana akili zao cjui zipoje,?cku moja tu matukio lukuki!!
Hiyo ndo vijana wa mujini wanaita kazi na dawa......

"Tunataka kiongozi ambaye anachukia rushwa, na hata tukimwangalia usoni tunaamini anachukia rushwa, Sio ambaye hata ukimuangalia unajiuliza, mnh, huyuu????!"-Mwl Nyerere
mkuu nazja viongozi hao wamebaki skeletoni tu...kila mtu amekuwa "ukoo wapanya"
 
Last edited by a moderator:
Sasa ungekuwa wewe ungefanyaje

Sio ningefanyaje,ki ufupi punguza kufungua zipu hovyo,hii dunia bana kila mtu ana shida zake,utalaumu watu buree!!cku moja tu unaomba na papuchi wakati mtu humjui eti Kisa umemsaidia!.ndo nyie mnaotembeaga hadi na majini!!.Kwanza jifunze kutofautisha mambo ya kazini na mambo ya mtaani!!
 
Aisee ila sio poa kabisa, mtu una mkalim kwa nia njema na una mhonga vizuri yeye anakuibia tena

50,000/=ndo umemuhonga vizuri?na hiyo 70,000/= alikula peke yake au mlikula wote?

Starehe gharama bwana!!
 
Je, wewe mkuu miss chagga unaweza kubali kukutana na stranger kwa mara ya kwanza kisha mkapiga na mechi kabisa?
maana hii inakuwa na ukakasi kidogo hata kama mwana alikuwa pochi nene. au unaonaje mkuu?
 
Last edited by a moderator:
Watu wengine mik.und kweli! Laki 4 mpaka ulipwe? Mtu mwingine Ana Mishe Zake bwana! Kakwambia lini tena alichukua laki 4?

OTE=Galadudu;11737160]Hapo oficn kwenu kila cku mnalipwa laki nne au.......
[/QUOTE]

We ni K,
 
ahaaa... kwahiyo mkuu miss chagga una halalisha ile style ya "muosha huoshwa".

sasa kama wewe utafanyeje endapo hamdani ina kutokea once upon a time?
ni kweli muosha huoshwa pia...... ikitokea nitaona ni mistake imetokea so i should move on.... that already be the past .. its history already... we use history to make our future perfect most of the time
 
ahaaaa...so will u accept to have "conjugal wc a stranger" ? Itz very terrible if not horrible.
Mine nita tafuta sababu yoyote ile ya kumzuga demu ili nisimbandue siku ile ile walau kidogo tuzoeane , coz madhara moja wapo ni kama aliyo yapata mleta mada.
 
Umekuja ofisini, pamoja na u busy wangu nikakupokea kwa ukarimu,nikakuhudumia kwa kiwango ambacho hakitamkiki na mwenyewe ukafurahi, ingawa dedline ya hiyo kitu ilikuwa imeisha lakini nikapigana kukufanikishia azma yako

Kwa upole na unyenyekevu wakati unaniaga ukaona unipe namba yako in case for anything mi sikukuomba na wala sikuwa na uhitaji wa hilo, ila kwa kuwa ni mrembo mi nikavutiwa na wewe, siku hyo hyo tukakubaliana tukutane mahali tubadilishane mawazo ukakubali bila hiyana.

Ukala vitu vyangu vya takribani 70,000/= nikakuomba papuchi wala hukuwa mkaidi ukanipa siku hiyohiyo.Namaliza kukugegeda naenda kuosha le dushe, we unazama kwenye wallet yangu unaiba 140,000/=.Tunaagana nimekupa 50,000/=narudi nyumbani, kukagua wallet yangu nakuta pesa pungufu na hesabu zangu nakuuliza unakataa na kuapa kabisa.

Ina maana ule ukarimu wangu wote ofisini mpaka pale Hoteli ni bure kabisa, hivi kwa nini nyinyi wanawake wa siku hizi mna roho mbaya hivyo jamani

Sasa we umeniibia mi sihangaiki na wewe, nakupa siku tatu uwe umerudisha pesa zangu vinginevyo mi nakumaliza ofisini kwenye yale mambo yako.

Unajijua # Juzi.

Hahahahahahahaha jamani mbavu zangu mie!!! Ila hapo umejitakia kwa sababu mtu ujajua tabia yake unataka papuchi siku hiyohiyo!!!!! Shame on u na UKOME kabisa
 
Hahahahahahahaha jamani mbavu zangu mie!!! Ila hapo umejitakia kwa sababu mtu ujajua tabia yake unataka papuchi siku hiyohiyo!!!!! Shame on u na UKOME kabisa

Na wewe jaman but all in all i put this thread in order kuwataadharisha watu wanapokutana na issue kama hii wawe makini aisee
 
Back
Top Bottom