kzba
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 1,355
- 793
- Thread starter
- #21
katika hali ya ustaarabu wa kawaida...unamuonea huyo dada
kama wakati unampa elfu 50 hukugundua loss ya pesa hadi mnaagana huwezi mlaumu
ulipaswa kabla ya kuagana nae ujikague na ikibidi umuulize ujue ukweli...
ya wezekana umepoteza kwingine kabisa
labda umesahau.......
Hapana kaka nimetoka ofcn na pesa taslim laki nne, matumizi yote jumla elfu sabin yeye nikampa elfu hamsini na sikupita popote na fedha nilizihakiki nikaweka kwenye wallet sasa zimeenda wapi aisee ni yeye tu