Hivi nyinyi wanawake mbona makatili sana

Hivi nyinyi wanawake mbona makatili sana

Na wewe jaman but all in all i put this thread in order kuwataadharisha watu wanapokutana na issue kama hii wawe makini aisee

Ukipanda mahindi utavuna mahindi uctarajie kuvuna mtama.....
 
Mi nammaliza tu mwenyewe anajua vinginevyo arudishe pesa zangu tena zote mpaka za matumizi na nilizompa vinginevyo itakula kwake na anafahamu umuhim wangu kwa issue yake

Vipi kama si mwana jf yaani haingii humu?

Halafu swali lingine wanawake umewajua lini mkuu?!!
 
Kwahyo Ww Unajiona Mkarm Sana Hayo Ndo Malpo Yako Tulia Tu Kwan Nan Kakwambia Mznifu Analpwa Mema Tena Pga Kmya Wala Usmwambie Mtu Mrudie Mola Wako Akusamehe
 
my mtetezi Honey Faith huyu ni kahaba wa kiume alokubuhu na hizi ndio aina ya thread zake, ye ni wa kulizwa tu kila cku na ana familia ati!!! oooh Mungu turehemu

Halafu cha ajabu wamekutana ofisini, wakapeana simu, wakakutana na kutimiza mambo yao, malalamiko anayaleta JF na vitisho kibao. Atupe hiyo id yake kama yumo humu JF tumsaidie kuongea naye. Siwapendi wazushi wa vihadithi vya kikatuni kama hii.
 
Last edited by a moderator:
Halafu cha ajabu wamekutana ofisini, wakapeana simu, wakakutana na kutimiza mambo yao, malalamiko anayaleta JF na vitisho kibao. Atupe hiyo id yake kama yumo humu JF tumsaidie kuongea naye. Siwapendi wazushi wa vihadithi vya kikatuni kama hii.

We ni jinsia gani?
 
Kwahyo Ww Unajiona Mkarm Sana Hayo Ndo Malpo Yako Tulia Tu Kwan Nan Kakwambia Mznifu Analpwa Mema Tena Pga Kmya Wala Usmwambie Mtu Mrudie Mola Wako Akusamehe

Kwa hyo ndo umemaliza kukomenti au cyo
 
Hiyo wewe hesabu maumivu tu. Kwa lugha ya siku hizi "imekula kwako". Na iwe funzo kwako
 
Back
Top Bottom