Hivi nyinyi wanawake mbona makatili sana

Hivi nyinyi wanawake mbona makatili sana

Kwa Pochi ya kiume Jaman upungufu wa 140,000 baada ya kutoa 50,000 mbona ungeugundua? Yawezekana umepoteza kwingine! Kushtumu Mtu bila uhakika ni mbaya Sana kwa kweli!




UOTE=kzba;11735491]Umekuja ofisini, pamoja na u busy wangu nikakupokea kwa ukarimu
Nikakuhudumia kwa kiwango ambacho hakitamkiki na mwenyewe ukafurahi, ingawa dedline ya hiyo kitu ilikuwa imeisha lakini nikapigana kukufanikishia azma yako

Kwa upole na unyenyekevu wakati unaniaga ukaona unipe namba yako in case for anything mi sikukuomba na wala sikuwa na uhitaji wa hilo, ila kwa kuwa u mrembo mi nikavutiwa na wewe, siku hyo hyo tukakubaliana tukutane mahali tubadirishane mawazo ukakubali bila hiyana.

Ukala vitu vyangu vya takribani 70,000/= nikakuomba papuchi wala hukuwa mkaidi ukanipa siku hyohyo
Namaliza kukugegeda naenda kuosha le dushe, we unazama kwenye wallet yangu unaiba 140,000/=.Tunaagana nimekupa 50,000/=narudi nyumbani, kukagua wallet yangu nakuta pesa pungufu na hesabu zangu
Nakuuliza unakataa na kuapa kabisa.

Ina maana ule ukarimu wangu wote kuanzia ofisini mpaka pale hoteli ni bure kabisa, hivi kwa nini nyinyi wanawake wa siku hizi mna roho mbaya hivo jamani

Sasa we umeniibia mi sihangaiki na wewe, nakupa siku 3 uwe umerudisha pesa zangu vinginevyo mi nakumaliza ofisini kwenye yale mambo yako ***** zako

Unajijua#juzi[/QUOTE]
 
Kaka acha fix 400, 000 chomoa 70, 000 lazima burungutu litaonekana wakari unachomo 50, 000 .....hongera kwa ukarimu kuanzia office hadi kuhonga
 
Kaka acha fix 400, 000 chomoa 70, 000 lazima burungutu litaonekana wakari unachomo 50, 000 .....hongera kwa ukarimu kuanzia office hadi kuhonga

Mi nilishindwa kugundua kwa haraka haraka kwa kweli wala siyo fix walioelewa wamenielewa
 
Hivi vindege msikitii nikienda kulala navyo nakua na amount ile ile ambayo nataka kutumia,kuna mmoja alienda kulala na msela jela mmoja,saa jamaa kaenda kuoga demu kafungua walet kaiba pesa kama 30,basi jama kutoka akachungulia walet kaona salio halitoshi,demu na yeye kaenda kuoga jamaa akazama kwenye waleti ya demu kakuta elfu hamsini na saba,jamaa na yeye akaiba yote.wakiwa wanatoka jamaa kwa mbwebwe akampa demu elfu 27000 akamwambia hiyo nauli.afuu kila mtu akasepa...baadae sasa hahaha
 
Mkuu usije kuwa ulimkopa papuchi... na akachungulia mfukoni akakuta mbona kitita kipo , hivyo akaamua aende kupooza koo walau kidogo.
 
Hivi vindege msikitii nikienda kulala navyo nakua na amount ile ile ambayo nataka kutumia,kuna mmoja alienda kulala na msela jela mmoja,saa jamaa kaenda kuoga demu kafungua walet kaiba pesa kama 30,basi jama kutoka akachungulia walet kaona salio halitoshi,demu na yeye kaenda kuoga jamaa akazama kwenye waleti ya demu kakuta elfu hamsini na saba,jamaa na yeye akaiba yote.wakiwa wanatoka jamaa kwa mbwebwe akampa demu elfu 27000 akamwambia hiyo nauli.afuu kila mtu akasepa...baadae sasa hahaha
ha ha ha ha ha ha muwe mnaenda kuoga wote
 
Mnatujazia thread ambazo hazina kichwa wala miguu.Sasa kama ulifanyiwa hivyo atleast ungekaa kimya maana mjini shule.Na hebu baki njia kuu mambo yakujiliza liza sio mazuri😀
 
Watu wengine mik.und kweli! Laki 4 mpaka ulipwe? Mtu mwingine Ana Mishe Zake bwana! Kakwambia lini tena alichukua laki 4?


OTE=Galadudu;11737160]Hapo oficn kwenu kila cku mnalipwa laki nne au.......[/QUOTE]
 
Mnatujazia thread ambazo hazina kichwa wala miguu.Sasa kama ulifanyiwa hivyo atleast ungekaa kimya maana mjini shule.Na hebu baki njia kuu mambo yakujiliza liza sio mazuri😀

my mtetezi Honey Faith huyu ni kahaba wa kiume alokubuhu na hizi ndio aina ya thread zake, ye ni wa kulizwa tu kila cku na ana familia ati!!! oooh Mungu turehemu
 
Last edited by a moderator:
Ukome na uroho wako angebeba zote kabisa na dushe lako.
 
my mtetezi Honey Faith huyu ni kahaba wa kiume alokubuhu na hizi ndio aina ya thread zake, ye ni wa kulizwa tu kila cku na ana familia ati!!! oooh Mungu turehemu

,@&#/€££¥₩€×yzt za babayo
Weka hapa hzo thread tuzione
Braly michel jackson ww
 
Last edited by a moderator:
sawa mkuu uwaminifu umepungua sana kila mtu anamwona mwenzie mwizi

unachokisema ni sawa mkuu miss chagga ila kwanini mtu uwe mdokozi ? wakati mmeenda kupeana "maji ya raha?"
Mie nadhani pia inabidi tuwe tuna angalia na "pompo" ya kwenda kukamua ili tusije kwenda kamua hadi "vipanga" vikakuacha apeche aroro mwanaume ukaumbuka.

Ukome na uroho wako angebeba zote kabisa na dushe lako.
Mkuu angelita una roho ngumu...ama kweli wahenga walionena "abiria chunga mzigo wako" waliona mbali sana coz kama kuna watu wanaweza "kwapua hadi MkuyatI" wako. hii ni zaidi ya hatareee.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom