Mi akija hivyo nampotezea hata si msindikizi nafungua anasepa zakeUkiona hivyo we mpe hela
Akileta story nyingi my friend we mpe hela
Nimesema hivi MPE HELAAA ulishawahi kupanda basi kituo A to kituo B bila kukapatana nauli? Maelewano ni kabla ya safari braza so sema una shingap
Siku zingine mpe hela kwanza