Hivi nyie wanaume mkoje?

Mbona kule Badoo,Tinder,Hi5 na Hitwe mnakuja?
 
Anakusaidia tu na wewe uone unaishi..πŸ˜‚
Siku akiona unafaa kuchunwa ngozi taarifa zako tutazipata TBC ni Jambo la muda tu 😜

Joke..😜

maskin ndio mnaopenda chura
 
Kuna siku naenda pokea mzigo ubungo kutoka kwa bibi mkubwa hukoooo kanda maalum. Nakumbuka kuna kipindi basi zilikuwa zinaruhusiwa kutoboa na sio kulala njiani. Kwa hofu ya kwamba mzigo wangu niupate bado wamotooo na mimi nakesha ubungo. Maraaa paaa mrembo toka singida ya kinyaturu inanionba simu iongee na ndugu zake wamemetelekeza hapo ubungo. Aiseeee wanyaturu tangia hapo niliweza proove ni wepesi kinomaaaaaa. Yaan nilipokea mzigo wangu mida ya saa 8 usiku tukarudi mbezi na mtoto. For couple of days anapika na kupakua.
 
Kama ulikuwa makini Kama unavyodai hukuwa na sababu ya kuchat nae mpaka kufikia kutaka kukuona..
 
maskin ndio mnaopenda chura
πŸ˜‚πŸ˜‚
Hiyo theory yako tu.. ila usiogope wanawake mi nawapenda Sana Ila hata Kama ni u flat sio ule unafika mpk negative..πŸ˜‚
Kawepo Basi hata ka kufanya msuli wa mapenzi ubabaike sio mtu anakukalia unahisi kabisa huu ni mfupa wake wa nyongaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kali yake
 
Sema umetaka utumiwe nauli jamaa amechomoa mpaka ufike atakulipa.......hizo nyingine mbwembwe!
 
Humu unaweza anzisha uzi ukajikuta unarushiwa mi comment ya kuudhi mpaka ukahisi kama wanakuona vile,unaweza usitoke room ukadhani utakutana nao. Ha Ha Ha Ha
 
ni ukweli watu wasio ukubali ni kwamba mwanamke kamwe haqezi kumuelewa mwanaume na wala mwanaume hawezi kuelewa mwanamke tuishi hivi hivi kwa kushangaana usitafute solution yaani ishi kama unaigiza ili ucopy na mazingira
 
Wengi hawataki kwenda lakini nauli wanaomba. Wanaomba kwa kila mwanaume. Mwisho source of income inakuwa kuomba nauli.
 
Hapo mjanja ni mwanaume ndiyo maana hajaja kukuona wewe ila kakuona wewe ni boya ndiyo maana anatakaumfuate na wasichana wengi wa mtandaoni hufanya hivi na wanaume wengi mazoba ya mitandaoni wakikutana wasicha wajanja hutuma nauli ikaliwa na msichana haji.
Mbwa kala mbwa
 
Akijinyonga utajibia kwa Muumba
 
Sawa. Akili zinasoma.Lakini ukue huwezi kumpata mume. Labda umpate ambaye akili hasisomi.
 
Aseeeeeeeeh huko PM kuna mengi lol, haya wahusika wamekusikia. Mweeeeeh
 
Sawa. Akili zinasoma.Lakini ukue huwezi kumpata mume. Labda umpate ambaye akili hasisomi.
Sintoenda ng'o kama kidume hajishughulishi kuja kama ni kidume kweli aje nimuone ndio niridhike .

Shuleni nakumbuka hivi kuna mdada aliambiwa amfuate mkaka moshi walahi alinishawishi tuende huko akanilipia nauli tukaenda mpaka moshi kufika sasa nilifurahi sana .
Kwani huyo kama alikuwa anamzingua mpaka basi mara niko stendi njooni juu ya hapa njooni chini mara njoo mwenyewe mara niko na mtu nisubirie.
Mpaka 11:30 ijioni ndio akatokea kanuna kisa eti yupo na mtu halafu isitoshe eti anadaiwa nauli .

Funzo tokea huyu besti afanyiwe mizinguaji mtu akiniita hata Arusha mjini siendi kama haeleweki.

Maisha sio kujirisk kisa mtu mwingine bali nikujilinda na watu usiowatambua .
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…