Hivi nyie wanaume mkoje?

Nae kama kashindwa kuja kukutembelea basi muonane neutral venue na iwe open kabisa ndo myajenge

Saiv ngumu kuaminiana
 
Akili unazo lakini hazijakutosha bado, kwani mkionana unahisi ni sababu tosha ya yeye kutokukuchuna ngozi kama ni mchuna ngozi?
 
Hapo demu lazima awe chakula cha wana..
 
Hahaa dahh
 
Hahaa aisee
 
Naandika nafuta,naandika nafuta.....acha tu niandike,"kwa hiyo kwa akil yako wanawake hawapaswi kuwafuata wanaume kwa mara ya kwanza?risk taker ndo hufanikiwa plus i'm nt sure kama huo ndo mtongozo wa kwanza.....obhebhe jaga goke agagopoje ombehi!!
Mbona umemaliza kikwenu sio powa
 
Tusimulie basi ulivyoenda ilikuwaje
 
Inawezekana mwamba ana majukumu mengi ya Kaz ndio Mana kakwambia uende kwake ila staha muhimu

Hv ulivyo andika thread yako inaonekana ndivyo ulivyo ya ndani unayaweka nje na umri wako inaonekana Ni below 24
 
Mjibu vizuri mtu ukimtukana wala hatokuelewa mtapigana usipokuwa na akili wakati wa ushauri basi hata wewe unashida kuliko yeye.
 
Inawezekana mwamba ana majukumu mengi ya Kaz ndio Mana kakwambia uende kwake ila staha muhimu

Hv ulivyo andika thread yako inaonekana ndivyo ulivyo ya ndani unayaweka nje na umri wako inaonekana Ni below 24
Why best ,.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ eti anafeli!!

Huyo dada uliyemtaja unataka ugomvi nae?lakini mie popote utakaponiambia nije nakuja....sitaanzisha uzi na nauli juu yangu
Inaelekea unajua sana humu umeolewa hivi tuanzie hapo .
Kwa maana inaelekea unajua sana kila uzi unajua mwisho wake very nice.
Je una mume??
Je unawatoto napenda unijibu joana .
 
Why best ,.
Kuwa na hofu ya Mungu ishi Kama mwanamke wa Africa unaejua tamaduni na miiko ya mwanamke wa kiafrica kwa mwanaume ipi

Wanaume hatuangalii mwanamke ana uzuri gani,Elimu au pesa kias gani Bali tunachoangalia

1 ana hofu na Mungu
2 ana heshimu wazaz wake na ndugu zake
3 ana utunza ulimi wake katika mazingira yeyote Yale

Kwahyo hicho ulicho andika kina sadifu Yale yalio Moyoni mwako Muombe Sana Mungu inawezekana bahat yako ikawa hyo kwa mchiz alafu ukawa unaichezea Kuna siku utaikumbuka nafas ambayo mchz kakupa
 
Kwelii
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…