Hakuna pisi kali kuliko mkeo

Wengine wanarogwa na michepuko kuishia kuwaoa. Wakiingia kwenye ndoa ndio anagundua hana tako na ni ana makangeza.
 
ni kweli ila mimi natoka nje mara moja moja, yote ni katika harakati za kubadilisha mboga ili maisha yaweze kusonga.
kula kisamvu kila siku siwezi aisee... nipate dagaa kidogo, maharagwe, samaki na kitimoto nk..
 

Attachments

  • images.jpeg
    images.jpeg
    53.7 KB · Views: 1
ujakutana na watoto wew nishakutana na chotara la kitaliano wavuvi camp aseee lile bidada kuishi kwangu Tanzania ndio janamke zuri kuliko wote niliwahi kuwaona Ndani ya hii nchi hadi kesho sjawah msahau yule dada
 
Back
Top Bottom