Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,302
- 96,520
Hamna, mi ni silent Observer! Niko hapa kwaajili ya kusawazisha pale ambapo mtakuwa mnaenda ndivyo sivyo!
Yaani niko kama Catalyst vile!
Taratibu dada Natasha eeh, Crispin yuko single, na wala hanaga shida ya hela hizi ndogondogo!
Binamu unanidai bia tano kama unatumia, na kitimoto kilo moja kama unatumia. Hilo pande la uhakika.