Hivi nyie ni Akina Dada kweli au...?

Enzi zilee za mwalimu. Unamwona Pretty anavyochungulia? Anaogopa kuingia kanisani

hahaha namwona!anavutiwa sana na litrujia ya neno ambayo shemasi unahubiri.amesimama kwenye mlango wa kanisa
 
Funga macho nimsaidie mchungaji kuongoza sala ya toba. Liturjia inaruhusu.
 
Mambo Chriss naona leo mmekuja na ya mwisho wa wiki,kwa hiyo mnahisi wengine huku sio she bali ni he,kazi mnayo.Hebu nieleze kwa nini hamuwaamini watu kwamba ni she or he?
 
Kabla sijakujibu binamu. Are you she or he?
 
Mimi ni she bwana,na ili u-prove hilo nitakualika kwenye engagement yangu binamu.

ina maana yule jamaa ambaye mlizinguana sana mpaka ukatuomba ushauri kipindi kile umeenda kwenye msiba wa babu yako MMERUDIANA?
 
That means you are single? Si ndio? Hahaha! Sijambo bwana, mambo shwari. NiPM basi huwezi jua mipango ya Mungu.
 
ina maana yule jamaa ambaye mlizinguana sana mpaka ukatuomba ushauri kipindi kile umeenda kwenye msiba wa babu yako MMERUDIANA?

Katekista taratibu, tutampoteza huyu mwanakondoo kwa mahubiri yako hayo.
 
Mimi ni she bwana,na ili u-prove hilo nitakualika kwenye engagement yangu binamu.

Hii Kali, yaani kwa sasa ni lazima umuulize mtu kama ni she au he kabla ya kuendeleza mazungumzo nae...lol!...imekuwa ngumu sana!

Kama una engagement dada Msindima basi tualike wana-JF wote! Umesahau kuwa Invisible anatoa zawadi kwa niaba ya wanaJF wote?
 
PJ mambo gani hayo? Nimekaribishwa peke yangu. Mtaniharibia, si mnaona mambo yalishaanza kwenda kwenye mstari? Agggrrrrrrr
 
basi nimekosa mkuu, endelea naye nakaa mbali, lakini japo uwe na Geoff kama mpambe ili akuelekeze baadhi ya Protocals...!

JAMANI WANA-JF MSIENDE KWENYE HII SHUGHULI! Inamhusu mtu mmoja tu, sawa eeeeeeeeeeeeee!
 
Katekista taratibu, tutampoteza huyu mwanakondoo kwa mahubiri yako hayo.

HAHAHAH!shemasi upo makini sana na ''wakata-shauri wapya''
tunaingia sasa kwenye litrujia ya ekaristia,lakini lol mchungaji ameyeya.sijui alitumika sana?lol
 
Hii Kali, yaani kwa sasa ni lazima umuulize mtu kama ni she au he kabla ya kuendeleza mazungumzo nae...lol!...imekuwa ngumu sana!

Kama una engagement dada Msindima basi tualike wana-JF wote! Umesahau kuwa Invisible anatoa zawadi kwa niaba ya wanaJF wote?

Nitawakaribisha wote msihofu
 
basi nimekosa mkuu, endelea naye nakaa mbali, lakini japo uwe na Geoff kama mpambe ili akuelekeze baadhi ya Protocals...!

JAMANI WANA-JF MSIENDE KWENYE HII SHUGHULI! Inamhusu mtu mmoja tu, sawa eeeeeeeeeeeeee!

Point taken. Katekista niko naye beneti. Si unaona anvyonipigia ndogondogo. Halafu nilisahau kukuuliza. PJ are she or he?
 
Back
Top Bottom