Hivi nyie ni Akina Dada kweli au...? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi nyie ni Akina Dada kweli au...?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by PakaJimmy, Oct 10, 2009.

 1. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #1
  Oct 10, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Nina Mashaka sana kama tuna Akina dada/wanawake humu ndani ya jamvi. Kuna watu wanajifanya wanawake, na kisha wanaishia kuwazingua akina Chrispin, Masanilo, Nguli, Fidel180, Geoff na Wakware Wengineo waliobobea kwa kupenda Avatars!.
  Hebu tazama mabandiko yafuatayo:

  Jamani nimecheeeeeeka ..hivi kweli utataka ujue huwa anafanyiwaje kama anapewa kisamvu cha kopo na wewe utaamua kumfanyia mkeo ili asiend huko anakoenda
  -- Firstlady

  na sisi tukitoka nyumba njia nzima tusipoitwa au kutongozwa tyunaenda kwa wanganga kwa nini? usiposemesha na mwananume ukirudi unajiangali una kasoro gani?jamani hata bibilia imesema kuwa mwanamke ni pambo hivyo hakuna jinsi inabidi tukubali yatokanayo tu.
  Kwakuwa usipotongozwa utasema unagundu,
  Usiposemeshwa na mwanaume itabidi ujiangalie kwenye kiooo
  Why?????kwa nini?twawasingizia wanaume kuwa ndo wasumbufu????
  -- Chaku

  We! kwa hiyo unataka kuniambia mimi natamani hicho kitovu hata siku moja,nikitokea hapo utashikwa kigugumizi.
  --Joyceline

  Kuna wengine kibao kama akina Maria Roza, VeraCity, Pretty, WoS, Nyamayao, Agika, Msindima etc, ambao mimi binafsi nina`doubt sana ujinsia wao, japo wameamua kujitambulisha kuwa wao ni -ke!

  Kama akina dada mpo, basi mnisamehe,... tucheke tunenepe, wikiendi hii jamani, lol!
   
 2. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #2
  Oct 10, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,957
  Likes Received: 23,634
  Trophy Points: 280
  Afadhali binamu utusaidie kuwaweka sawa, manake hawajui matatizo wanayotuletea. Wengine tunashindwa kuchomekea mashati kwa visa vyao. Sijui wanatutakia nini hawa watu.
   
 3. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #3
  Oct 10, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Humu wakina dada wapo, na mimi mmojawapo. ILa sidhani kama kweli humu JF watu wanatumia gender tofauti na walizonazo, kama wapo watakuwa wanajidanganya wenyewe.
   
 4. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #4
  Oct 10, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,957
  Likes Received: 23,634
  Trophy Points: 280
  Lol! NiPM basi darling. I will be running while you are jogging.
   
 5. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #5
  Oct 10, 2009
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,357
  Likes Received: 3,116
  Trophy Points: 280
  penye ukweli ..uongo hujitenga,uongo unapita lakini ukweli unadumu.
   
 6. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #6
  Oct 10, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,957
  Likes Received: 23,634
  Trophy Points: 280
  Are you she or he?
   
 7. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #7
  Oct 10, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Si unaona sasa! Mi nakwambia kuna mambo hapa...usipokuwa makini kama sisi utampa mtu appointment,..kumbe jibaba...huh!
   
 8. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #8
  Oct 10, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,957
  Likes Received: 23,634
  Trophy Points: 280
  Si ndio maana tunaingia kwa tahadhari mkuu?
   
 9. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #9
  Oct 10, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  tumuulize invizibo!
  mimi pia nina mashaka nao sana hawa
   
 10. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #10
  Oct 10, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  naona kuna mtu anakimbizana na upepo -lean to trust your self ...
   
 11. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #11
  Oct 10, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,957
  Likes Received: 23,634
  Trophy Points: 280
  Nawaona FL1 na Pretty wanachungulia kwa mbali. Subiri uone vita itakayoanza.
   
 12. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #12
  Oct 10, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,957
  Likes Received: 23,634
  Trophy Points: 280
  Ahaa, umefikae? Nilikuwa nakusubiri kwa hamu. Hujambo darling? Are you he or she?
   
 13. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #13
  Oct 10, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  hivi shemasi,
  unaona hilo bandiko lilivyotuvua nguo?
  mimi nimeripoti kwako,ili wewe umwambie mchungaji tufanye nin........
   
 14. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #14
  Oct 10, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180

  Shughuli hii hapa!
   
 15. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #15
  Oct 10, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,957
  Likes Received: 23,634
  Trophy Points: 280
  Kweli katekista, hapa inabidi mchungaji ahusishwe. Manake huyu jamaa hachelewi kutuhisi kuwa sisi ni masista, akatuzuga na ukware. Tatizo mchungaji leo kalitelekeza kanisa.
   
 16. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #16
  Oct 10, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,957
  Likes Received: 23,634
  Trophy Points: 280
  Umesahau ulituonya tuwe makini? Kazi ndio imeanza hivyo.
   
 17. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #17
  Oct 10, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  mimi nahisi mchungaji anabeba boksi,sasa kalala si unajua uchovu?
   
 18. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #18
  Oct 10, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,957
  Likes Received: 23,634
  Trophy Points: 280
  Lol! Heri mimi sijasema. Naogopa kutengwa na kanisa.
   
 19. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #19
  Oct 10, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  hahahahah!
  umenikumbusha mbali sana
   
 20. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #20
  Oct 10, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,957
  Likes Received: 23,634
  Trophy Points: 280
  Enzi zilee za mwalimu. Unamwona Pretty anavyochungulia? Anaogopa kuingia kanisani
   
Loading...