Hivi nyie ni Akina Dada kweli au...?

Usiogope haitatokea hata cku moja nature will operate..
Mvina..... haya mambo ya kujificha nyuma ya jidubwana ambalo wahusika wanatumia majina ya bandia..ni hapo utakaposhikwa pabaya mbona aibu itakupata!
hebu fafanua kwenye bold basi.
 
Mvina..... haya mambo ya kujificha nyuma ya jidubwana ambalo wahusika wanatumia majina ya bandia..ni hapo utakaposhikwa pabaya mbona aibu itakupata!
hebu fafanua kwenye bold basi.

Hapa si kale ka simple theory unlike charges attracts while like charges repels upo hadi hapo?
Usiogope.... hata hivyo mi 2moro nitakuja na jina langu kamili hapa na jinsia yangu...
 
Una uhakika dada/kaka Nyamayao?Kumbe yawezekana JojiPoji ni mdada eeh!...embu twambie mwaya!

Kaka naona bado uko kwenye tathmini. Najaribu ku imagine kama Nyamayao ni dume na Jjipoji ni demu. Lol! Wakikutana itakuwa burdani.
 
We Chrispin mbona unaficha sura yako kwenye hii Avatar yako? ndo nyie mnaotuletea mashaka! hutuoni watu kama mimi, tuko hadharani!
 
We Chrispin mbona unaficha sura yako kwenye hii Avatar yako? ndo nyie mnaotuletea mashaka! hutuoni watu kama mimi, tuko hadharani!

Aa mkuu, si unacheki kono hilo. Hilo kazi yake ni kukumbatia kina she's. Halitii mashaka kuwa Chrispin ni dume la mbegu.
 
Aa mkuu, si unacheki kono hilo. Hilo kazi yake ni kukumbatia kina she's. Halitii mashaka kuwa Chrispin ni dume la mbegu.

Kwani we humjui mdada anayeitwa Asha Ngedere...guu guu, kono kono! Anakuzidi hadi wewe hapo mkuu! Weka mambo hadharani kibingwa!
 
Back
Top Bottom