Hivi nyie baadhi ya wanaume unavyoandikia mwanamke meseji Huwa mnawaza Nini?

Hii avatar naipendaga sanaaa tukirudi kwenye topic ya shangazi Joannah umesahau na wale wa kuuuliza vipi umekula au unafanya kazi gani hivi unataka kugundua niniii jamani
Hiyo avatar kali sana imepishana na mishale mingi humu 😂😂😂😂

Hao ndo wananikwaza mimi jamani..!!
Unakula nini? Chakula ulinipa? Tuma pesa ya chakula ndo uulize nakula nini…??
 
Mbona ni salamu za kawaida tu, mana hapo anatafuta pozi la kukuanzia. Huwezi kwenda straight to the point moja kwa moja, lazima swaga zianze kwanza.
 
Kimsingi, kwa kawaida, mtu akikwambia niambie utakasirika iwapo ulikuwa na matarajio tofauti na hilo neno.

Ni bahati mbaya sana wakati huu maisha ni magumu, na hivyo wadada wanatarajia kufanyiwa miamala; sasa akikutana na neno "niambie" anahisi huyu jamaa hana cha kumpa zaidi ya kumpotezea muda.

Imagine, iwapo mwanaume katuma hela, halafu akatuma sms niambie; hapa ni lazima kwanza mdada atabasamu na kujibu kwa bashasha nnsafiii uko poa best.

Mimi ninadhani niambie inakera pale ambapo mdada ana makasiriko na dawa yake ni muamala tu.
 
Baada ya salamu anakutumia tena sms "niambie"

Mwanamme kutuma sms ya "niambie" kuna walakini. Huo ndio ukweli
 
Kwema?

Hivi nyie baadhi ya wanaume unavyoandikia mwanamke meseji, huwa mnawaza nini?

Mtu anakuandikia mambo? Unamjibu poa tu.

Anauliza tena, Kwema? Unamjibu kwema?

Anauliza tena, uko poa lakini? Unajibu poa?

Sasa anamalizia tena, "NIAMBIE" 😣

Jamani, hebu muwe serious basi. Umeanza mwenyewe mazungumzo halafu unaniambia nikwambie, nikwambie nini sasa? Eti huwa mnataka tuwaambie nini? Binafsi sana, sana ukiniambia nikwambie, nitakuomba hela... Halafu utaanza kulalamika na kulilia, maana watu wenyewe wa siku hizi tunawajua ni lialia, wakati wewe mwenyewe umesema nikwambie, au ni kutafutana lawama tu?

Kwa kweli, mtu akishaniambia hiyo "NIAMBIE," huwa anikera sana...

Hebu tupumzisheni basi, viumbe vya mola, jamani.
hahaaahaaaaaaa........sasa hapo cha kulalamika nini kama majibu ni yale yale,kwani anayekutumia mambo jibu la pili kwa uhakika zaidi ni poa,akikuambia niambie mjibu niambieeee
 
Kwema?

Hivi nyie baadhi ya wanaume unavyoandikia mwanamke meseji, huwa mnawaza nini?

Mtu anakuandikia mambo? Unamjibu poa tu.

Anauliza tena, Kwema? Unamjibu kwema?

Anauliza tena, uko poa lakini? Unajibu poa?

Sasa anamalizia tena, "NIAMBIE"

Jamani, hebu muwe serious basi. Umeanza mwenyewe mazungumzo halafu unaniambia nikwambie, nikwambie nini sasa? Eti huwa mnataka tuwaambie nini? Binafsi sana, sana ukiniambia nikwambie, nitakuomba hela... Halafu utaanza kulalamika na kulilia, maana watu wenyewe wa siku hizi tunawajua ni lialia, wakati wewe mwenyewe umesema nikwambie, au ni kutafutana lawama tu?

Kwa kweli, mtu akishaniambia hiyo "NIAMBIE," huwa anikera sana...

Hebu tupumzisheni basi, viumbe vya mola, jamani.
Kuna wanaume wanoweka "et" mwishon wanakera.

Utasikia ukopoa et.

Et nn mjinga wewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom