Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,691
Huku kwetu leo tumemkamata huyu chui mla kuku wetu. Wananzengwe kwa machungu wameamua kumla. Je ni salama kula huyu mnyama?
Huyo si chui, ni aina ya paka pori.Huku kwetu leo tumemkamata huyu chui mla kuku wetu. Wananzengwe kwa machungu wameamua kumla. Je ni salama kula huyu mnyama?
![]()
![]()
![]()
CheetahHuyo ni chitah kiswahili ni duma sio chui
Huyo ni chitah kiswahili ni duma sio chui
huyu ni chui au ngawa, huku zanzibar anaitwa ngawa
Chagua jibu sahihi.....Huyo si chui, ni aina ya paka pori.
Huo paka pori anaiwa lynx
