Hivi nitumie dawa gani?

Bado unakuwa zitaisha zenyewe naona huyo demu kakuumiza sana kisaikolojia uzi wa pili huu ndani ya dk20 kuhusu chunusi
Sawa dokta.
Ila mbona zinakuja ukubwani? Maana under15 nilikuwa sina.
 
Sawa sawa mr. Gentleman.
 
Alafu nishakwambia, badili hiyo profile photo yako mjomba kuna siku utabakwa.
Unajua kuwa leo ndo nimejua kama ni mwanaume, siku za nyuma nikiwa naona avatar yake najua yeye ni mwanamke tu.

Na usichokijua kuwa mwamba anadai ana miaka 17 tu.

Ni changamoto kwelikweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…