Emily magnus
JF-Expert Member
- Apr 7, 2026
- 820
- 1,505
shikamoo
Nakaziahebu picha ya hiyo sura yako tuone unashida gani, ni chunusi za aina gani
kijana wetu anatakiwa awe smart👌Nakazia
Marahaba binti mrembo.shikamoo
mi sijambo kabisa kaka mkubwa😅😅Marahaba binti mrembo.
Kivipi dokta?Dawa ni huyo huyo demu mliozinguana..!!
Bado unakuwa zitaisha zenyewe naona huyo demu kakuumiza sana kisaikolojia uzi wa pili huu ndani ya dk20 kuhusu chunusiOya nye watu mliopo humu... Jana kuna demu nimemzingua kisa kasema sura yangu imeharibika.
Hebu mnambie nitumie dawa gani ili niondoe chunusi huku usoni.
Sawa dokta.Subiri ukue , vitaisha tu vyenyewe ila utoto raha sana
Kumbe we dogo ndio unanisemeshaga kama mtu mzima wakati balehe haijakata?🫢Oya nye watu mliopo humu... Jana kuna demu nimemzingua kisa kasema sura yangu imeharibika.
Hebu mnambie nitumie dawa gani ili niondoe chunusi huku usoni.
Nashukuru sanaa sana,Embu acha utoto we kenge. Anza kujijenga kiuchumi,hata kama ukiwa kama hamorapa kama unanoti mademu watakuita handsome.
Simu yangu haiattachhebu picha ya hiyo sura yako tuone unashida gani, ni chunusi za aina gani
Gentleman pole,Oya nye watu mliopo humu... Jana kuna demu nimemzingua kisa kasema sura yangu imeharibika.
Hebu mnambie nitumie dawa gani ili niondoe chunusi huku usoni.