Magenyi Nshekela
Member
- Mar 15, 2011
- 27
- 4
WanaJF naomba nijulishe wadudu aina ya senene hutokea wapi?Maana hapa kwetu Bukoba hutokea kwa musimu nyakati nyingine hawaonekani.Huko wanakokuwa karibu miezi 6 ni wapi wanakula nini wanazaana vipi.Sina shaka nitapata majibu mwafaka.