CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,361
- 6,441
kwa wakwe zangu bukoba wako wengi sanaaa ila me huwa sili kabisa wale wadudu.makabila mengine haya basi tu tumeolewa but wanakula vitu vya ajabu mara sijui kahawa za kutafuna jaman!!!
We msichana vitu vya ajabu ni vipi. Hujaolewa huko, maana ukiolewa huko lazima uonje na ukionja utawaiba kutoka kabatini nakwambia msichana!