Jamani nimeingia jf hivi karibuni tu lakini kuna kitu kimenikera. Hivi kwa nini hawa wanaume wa kihaya wana majivuno namna hiyo. Mara utamsikia sipendi mwanamke anayeishi uswahilini mara hujui kuongea kiingereza. Hivi kwani mie nimetafuta kiingereza au husband material wanabore sana sitaki hata kuwaona.

tatizo lako ni ukaguzi! Nenda kwa Asprin ukaguliwe halafu akupeleke kwa kungwi gfsonwin ndio uje tena hapa!
Baada ya hapo utajua kilichowafanya The secretary, Madame B na sweetlady kuwatema Bishanga, Ruttashobolwa na nitonye respectively!
Filipo babu Asprin alisema anastaafu kazi ya ukaguzi na anatafuta wa kumkabidhi kuna babu mpya zumbemkuu anaweza kusaidia manake Asprin tangu atoke uchagani kula sikukuu ametoweka humu sijui bado anakunywa mbege alizobeba toka uchaganitatizo lako ni ukaguzi! Nenda kwa Asprin ukaguliwe halafu akupeleke kwa kungwi gfsonwin ndio uje tena hapa!
Baada ya hapo utajua kilichowafanya The secretary, Madame B na sweetlady kuwatema Bishanga, Ruttashobolwa na nitonye respectively!
sidhani kama amestaafu jumla! Anafanya kwa mkataba
tatizo lako ni ukaguzi! Nenda kwa Asprin ukaguliwe halafu akupeleke kwa kungwi gfsonwin ndio uje tena hapa!
Baada ya hapo utajua kilichowafanya The secretary, Madame B na sweetlady kuwatema Bishanga, Ruttashobolwa na nitonye respectively!
Mi nakuangalia tu. Aliyesema nastaafu ni nani? Acha kuninukuu vibaya, nilisema naacha kukagua mabinti wasio na viwango, sasa huyu kwakuwa ana viwango mwambie a come this way eti...... Filipo nilimpa mamlaka aifanye hii kazi pale ntakapokuwa sipo. Hii itanisaidia kupunguza foleni ya wanaohitaji kukaguliwa.:mwaaah:
mleta mada toa na evidence ya unachoongea kama huna ni bora udelete hii post kaaaa.....
measkron babu kahongwa,Mi nakuangalia tu. Aliyesema nastaafu ni nani? Acha kuninukuu vibaya, nilisema naacha kukagua mabinti wasio na viwango, sasa huyu kwakuwa ana viwango mwambie a come this way eti...... Filipo nilimpa mamlaka aifanye hii kazi pale ntakapokuwa sipo. Hii itanisaidia kupunguza foleni ya wanaohitaji kukaguliwa.:mwaaah: