Nini kitatokea kama siku ukilog in JF unakuta majina halisi ya members wote na avata zao ndani ya mabano... Bila kusahau picha zao kwa pembeni!?
Hivi nini kitatokea kama.............,malizia upendavyo.yangu mimi ni;hivi ni nini kitatokea kama mungu akiamua kuziondoa ghafla kuta nne za guest houses pamoja na mapaa yake mchana kweupe peee katikati ya jiji?
Nini kitatokea kama siku ukilog in JF unakuta majina halisi ya members wote na avata zao ndani ya mabano... Bila kusahau picha zao kwa pembeni!?
Wengi wa wafanyakazi watakutwa wakila 'LUNCH'.maana mida hiyo hufahamika kama 'lunch time'
usichekeshe walionuna!!
hivi kuna wafanyakazi wanaokula lunch gest???????
Kama genitals zitapewa sauti?
Duh hapa mwana unakwenda ndipo sipo!!Ingekuwaje dunia bila uislamu..........????