Hivi nini kitatokea iwapo members wataacha kuchangia majukwaani?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,871
155,840
Hebu fikiria, tangu asubuhi hadi jioni hamna post wala comment yoyote jukwaani.
Nakumbuka miaka ile ya kale, JamiiForums ikafungua chat room, watu wakaacha kabisa kuchangia majukwaani.
Vipi ile hali ikitokea tena leo?
Je uongozi utafanyeje kuwafanya qatu warudi kwenye utamaduni wa kuchangia majukwaani?
Nakumbuka kile kipindi cha kuchat kwenye chat room, uongozi uliondoa kabisa chat kwenye website.
 
Litatokea ombwe😄😄

Hivi unajua hata pumba zetu zina umuhimu mkubwa hapa jf?

Ngoja niendelee kulewa
 
Mods kibarua kitaota nyasi

Ndio tutaelewana kidogo kidogo (kwa sauti Dr Shika,RIP)
 
Amini usiamini, jf ya zamani ilikuwa ya watu wa hovyo hovyo sana tofauti na sasa

Mitano tena
tukiacha kuchangia naona mnataka turudi vilabuni tukanywe kimpumu na gongo
Member wa zamani walikuwa wanaweka vitu real kabisa mpaka serikali na Magazeti yote yanachungulia kwanza humu
kuanzia mlipojiunga mwaka 2018 hamjawakuta kina Malaria Sugu labda Bujibuji wa Mbeya
JF tuachieni tunaoperuzi 24/7
 
Muda siyo mrefu zitabakia post za Wachaga tu kujisifu na kujigamba huku wengine wakibakia wasomaji tu.

Fairness ni muhimu, ...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom