Fiziolojia
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 815
- 1,085
Hii biashara nakumbuka ilivuma sana miaka ya 2012-2014. Tuliambiwa mayai haya yanafaida lukuki za kiafya lakini Sijui ni nini kimetokea maana yamekuwa adimu kweli kweli.
Mfano, leo nimezunguka kila kona kuyafuta mayai ya kware lakini sikufanikiwa hata kupata connection. Wafanyabiashara wengine ukiwauliza sokoni ndio hata hawayajui.
Nachojiuliza ni kwamba serikali kupitia wizara ya afya/ mamlaka ya chakula au waliyapiga ban ila mimi ndio sina habari, au zile zilikuwa ni promo za mitandaoni tu kipindi kile!?
Kama kuna mtu anayefahamu sababu za kuadimika/ kutoweka kwa biashara hii naomba anijuze tafadhali, na ikiwezekana kuniuzia kabisa kwani nimezunguka sana mjini mpaka nahisi kukata tamaa.
Asanteni.