Duh.!ushanikariri ili uni Criticize kwenye kila UziWewe jamaa uelewa wako sijui ni wa kiwango gani; rejea ile mada yako ya Watoto wanaosoma shule za English medium hamna kitu kichwani. Anyway, mkoa hauwezi kuwa jiji kinachoweza kuwa jiji ni mji au manispaa. Kwamba mkoa mzima wa Morogoro au Tabora uwe jiji na mapori yote ya akiba yawe ndani ya jiji hiyo kitu haipo.
Mi si nimeomba tu nieleweshe sijasema najua nimeomba ufafanuzi?Duh.!ushanikariri ili uni Criticize kwenye kila Uzi
Sio suala la kukariri; unapoanzisha mada humu maana yake umeweka rekodi inayoishi ambayo muda wowote inaweza kufanyiwa rejea.Duh.!ushanikariri ili uni Criticize kwenye kila Uzi