Zee la madawa
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,728
- 4,075
Hivi nini chanzo cha makabila na nini chanzo cha hizo lugha za makabila nimekaa chini nimetafakari ila nimeshindwa kupata jibu wajuzi wa mambo naomba mnisaidie aisee
Imekujaje hapa?View attachment 3435576
Unibakizie warembo , kati ya wale 72 wa kufikirika, niachie hata wawili