Hivi nikweli CHADEMA itakufa sababu ya misimano thabiti ya Lissu na Heche?

Kuna minog'ono inatolewa na WanaCCM wanaoionea wizvu CHADEMA ya Lissu na Heche kuwa inakwenda kufa kisa tu wana misimamo thabiti.

Kwa sababu hawataki kuwa kama Mbowe na kuwa wananunulika na CCM kuwasaliti Watanganyika.
Wala hata usiumizwe Kichwa na mbumbumbu wa CCM.

Siku chache zijazo ni mwendo wa ICC , msione Taasisi zinafanya Uchunguzi, mkadhani ni bureeee.
 
Kuna minog'ono inatolewa na WanaCCM wanaoionea wizvu CHADEMA ya Lissu na Heche kuwa inakwenda kufa kisa tu wana misimamo thabiti.

Kwa sababu hawataki kuwa kama Mbowe na kuwa wananunulika na CCM kuwasaliti Watanganyika.
Wasichoelewa hao mbumbumbu wa CCM ni kuwa kama vile ambavyo CCM imekoma kuwa chama cha siasa na kuwa genge maslahi linalotawala kwa mabavu ya vyombo vya dola, Chadema nayo imevuka kutoka kuwa chama cha siasa na kuwa ni Imani ambayo hata wana CCM wenye kujitambua wanaamini na hivyo kusema kuwa Chadema itakufa ni kutoielewa Chadema.
 
Ndio kwanza inaimarika na kuzidi kuipoteza ccm na wahuni wake wote
Wanaipenda sana sana CHADEMA kiasi cha kutoa tahadhari ili kuokoa isife!!!!! On serious note: hawa watu wamejaa upumbavu mpaka tumbuni kwao. Hivi ni kweli hawajui ni kwa nini CHADEMA inapendwa? Badala ya kufanyia kazi makosa yao wao wanataka kuangamiza CHADEMA. Ni kama darasani unaua wanafunzi wenye akili.... je wale vilaza ndiyo watakuwa na akili?
 
Kuna minog'ono inatolewa na WanaCCM wanaoionea wizvu CHADEMA ya Lissu na Heche kuwa inakwenda kufa kisa tu wana misimamo thabiti.

Kwa sababu hawataki kuwa kama Mbowe na kuwa wananunulika na CCM kuwasaliti Watanganyika.
hakika hii porojo ni nonsense ya siku aise,
eti nani huyo mwenye wivu na chama nonsense na useless kama chadema gentleman? :pedroP:

infact waliosalia na kung'ang'ana pale chadema masalia ni wale tu walionja na pesa za mambwenyenye ya magharibi waliokua wanamfadhili kibaraka wao Lisu kupitia NG'O fulani hivi humu nchini:HAhaa:
 
Kwani hao CHAUMMA wasio na msimamo wapo wapi kama sio wanajifia pole pole licha ya kubebwa na MAFISIEMU
 
Kuna minog'ono inatolewa na WanaCCM wanaoionea wizvu CHADEMA ya Lissu na Heche kuwa inakwenda kufa kisa tu wana misimamo thabiti.

Kwa sababu hawataki kuwa kama Mbowe na kuwa wananunulika na CCM kuwasaliti Watanganyika.
Hauwezi kufa mara 2, kwa kuwa ilikiwisha kufa tayari tarehe 21/01/2025
 
CHADEMA ya Lissu na Heche inapendwa mpaka na wale wanaccm wenye akili timamu, na wazalendo kwa nchi yao ya Tanganyika. Ni CHAWA pekee na vilaza ndiyo wanaota ndoto za mchana.

Kimsingi Mbowe na genge lake la G55 wametuchelewesha kwa kufungamana kwao nyuma ya pazia na hawa wahuni, halafu walipojitokeza mbele ya majukwaa wakatuaminisha kama na wenyewe eti ni makamanda wenye misimamo thabiti! Kumbe ni mamluki tu wa wauaji, wezi na watekaji.
 
hakika hii porojo ni nonsense ya siku aise,
eti nani huyo mwenye wivu na chama nonsense na useless kama chadema gentleman? :pedroP:

infact waliosalia na kung'ang'ana pale chadema masalia ni wale tu walionja na pesa za mambwenyenye ya magharibi waliokua wanamfadhili kibaraka wao Lisu kupitia NG'O fulani hivi humu nchini:HAhaa:
Kiranja wao wachukia ukweli na Akili keshaingia uwanjani😀😃😄
 
Kuna minog'ono inatolewa na WanaCCM wanaoionea wizvu CHADEMA ya Lissu na Heche kuwa inakwenda kufa kisa tu wana misimamo thabiti.

Kwa sababu hawataki kuwa kama Mbowe na kuwa wananunulika na CCM kuwasaliti Watanganyika.
Ni kweli chadema inaweza kufa lakini Mbegu ya kizalendo iliyopandwa itazidi kumea, ni swala la muda tu
 
Back
Top Bottom